Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

Hahahahaha lol! Mie sitii neno :boxing::boxing::boxing:

AHAHHAHHHHHAH size yetu huyu!najua kinachomsumbua!
taizo alishawahi kudondokewa na binti mmoja wa kingoni af akapotezea akzaingua binti akaona ah cha kufia nini,kahama kwenye coce yake katafuta mandrax sasa anavomuona alivo teja sa hizi anajutaaaje!na haps ndo tunazidi kumdatisha kabisa!
sasa platozoom mtani wangu mi na wewe hatujakutana barabarani siwezi kuona unazidi kuteseka kiasi hiki!
hebu fanya mpango uongozane na BAK safarini peramiho!mkirudi hapa saaafi!
 
Last edited by a moderator:
lile gauni la kim k ulishaenda kulichukua? Ujue boflo alitulipia, shauri yako.
mwenzio nna nguo ya krismas.
heee! Boflo hawezi kunitenda kitendo namna hii!yani gauni nipress order mimi af akununulie wewe ?atanikoma akija hapa!
 
Last edited by a moderator:
heee! Boflo hawezi kunitenda kitendo namna hii!yani gauni nipress order mimi af akununulie wewe ?atanikoma akija hapa!

Hehe anakudanganya, sijamnunulia, ni ww pekee nitakununulia, kwani mm ctaki unibebe juu juu?
 
Hata dadaako FP kagomea rehab nami nikamshauri kwamba rehab ya nini kama mapenzi yao yamepamba moto pande zote mbili!? (Rehab inahitajika pale ambapo mmoja kapenda lakini kule alikopenda hakuna mapenzi) Wote wamezimikiana kupita kiasi maraharaha mtindo mmoja kila mmoja yuko moyoni na akilini kwa mwenzake 24/7 furaha tele ndani ya nyumba. Weekend kwenda kujirusha kwa raha zao na wakiamua kukaa nyumbani hakuna anayenung'unika sasa uombe nini tena katika mapenzi!? Mapenzi kama hayo ni nadra sana kuyapata katika dunia ya leo lakini ukibahatika raha yake usiambiwe!!! Kuna feeling fulani ambayo unajisikia saa zote zote na hutaki ipotee kabisa. Ukishikwa shikamana!!!

mi rehab sitaki!
 
haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
mi penzi halinikeri,haliniumizi,halinipi shida.lanipa raha,furaha,na masotojo yote ya kihisia!
natafuta rehab ya nini?akhu!
NAJILIIIIIIIIIIIA KWA RAHA ZANGU!
ila BAK tumechakachua hii sredi kiasi Mtambuzi akifika hapa hatuna keyboard walahi!
poa nimekumbuka na ye ni teja kwisha kazi,aftena ni shemeji ujue!
ahahahhahhahahah chezeya unga wa kukatwa kucha na kumpaka mama ngina nail polish wewe!ah lazima atuelewe!
we sail in the same boat!
HABARI ZA ASUBUHI TEJA Mtambuzi?
 
snowhite

Unajua kuna uzi nauandika na unakuhusu sana.....

Eti mume wangu leo mie nimechoka tufanye kesho...........
Nyoo..... hebu jipeni nafasi ya kupumuwa ili tukitaka kula vyetu mwatugawia, naamini wanaume watanipa LIKE Kibaaao

No more kuchoka, wagawieni waume zenu kwa kadiri watakavyo.

بيبد
 
AHAHHAHHHHHAH size yetu huyu!najua kinachomsumbua!
taizo alishawahi kudondokewa na binti mmoja wa kingoni af akapotezea akzaingua binti akaona ah cha kufia nini,kahama kwenye coce yake katafuta mandrax sasa anavomuona alivo teja sa hizi anajutaaaje!na haps ndo tunazidi kumdatisha kabisa!
sasa platozoom mtani wangu mi na wewe hatujakutana barabarani siwezi kuona unazidi kuteseka kiasi hiki!
hebu fanya mpango uongozane na BAK safarini peramiho!mkirudi hapa saaafi!

Hakuna jipya huko..............Akilala utafikiri mti wa mbuyu umedondoka mwe!!
Halafu walevi hao khaa!!
 
Mhhhh! taratibu banaaa!!! Ni aje rafiki!? lol! :majani7::majani7::majani7:
rafiki hizo ni salamu tu, kwa vile unampango wa kwenda Peramiho utaisikia sana hiyo, usije ukashangaa ina maana za siku...... sawa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata dadaako FP kagomea rehab nami nikamshauri kwamba rehab ya nini kama mapenzi yao yamepamba moto pande zote mbili!? (Rehab inahitajika pale ambapo mmoja kapenda lakini kule alikopenda hakuna mapenzi) Wote wamezimikiana kupita kiasi maraharaha mtindo mmoja kila mmoja yuko moyoni na akilini kwa mwenzake 24/7 furaha tele ndani ya nyumba. Weekend kwenda kujirusha kwa raha zao na wakiamua kukaa nyumbani hakuna anayenung'unika sasa uombe nini tena katika mapenzi!? Mapenzi kama hayo ni nadra sana kuyapata katika dunia ya leo lakini ukibahatika raha yake usiambiwe!!! Kuna feeling fulani ambayo unajisikia saa zote zote na hutaki ipotee kabisa. Ukishikwa shikamana!!!
ha haaaaaaaaa, rafiki yaani umenisemea kila nilichotaka kusema, thank you kwa kuwa mawazoni mwangu.... asante pia kwa wimbo mzuri, hayo maneno ni balaa.....hapo teja lisizidi kuchizika kweli? kwa raha zetu wenyewe
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
snowhite

Unajua kuna uzi nauandika na unakuhusu sana.....

Eti mume wangu leo mie nimechoka tufanye kesho...........
Nyoo..... hebu jipeni nafasi ya kupumuwa ili tukitaka kula vyetu mwatugawia, naamini wanaume watanipa LIKE Kibaaao

No more kuchoka, wagawieni waume zenu kwa kadiri watakavyo.

بيبد
nitake radhi shemeji!
muulize Kaunga ndo anaweza akakuelewa kuna kasiri niliwahi kummegea kuhusu hili!LOL!
 
Last edited by a moderator:
Hehe anakudanganya, sijamnunulia, ni ww pekee nitakununulia, kwani mm ctaki unibebe juu juu?
mie wala staki kukubeba juu juu, nashukuru kwa gauni. Limenitoa haswaa. Ofcoz ni siri yetu, uthijali. Ndo mipango ya mjini.
 
Haya bana rafiki FP maana unaweza kuvunja shingo na kumkata mtu jicho la "we vipi?" kumbe yuko katika lugha ya kule kulikovunjika mpini kukabaki jembe.... nyumbi hii na bombi hii lol!

rafiki hizo ni salamu tu, kwa vile unampango wa kwenda Peramiho utaisikia sana hiyo, usije ukashangaa ina maana za siku...... sawa?
 
Last edited by a moderator:
Chizika rafiki kwa raha zako/zenu mapenzi yenyewe ya siku hizi unayaona macho watu juu juu kama vyura lol! Weye umebahatika kuwa na mwenzio mnayependana kiasi hicho basi jirusheni na penzi lenu moto moto kwa raha zenu.

ha haaaaaaaaa, rafiki yaani umenisemea kila nilichotaka kusema, thank you kwa kuwa mawazoni mwangu....
asante pia kwa wimbo mzuri, hayo maneno ni balaa.....hapo teja lisizidi kuchizika kweli?
kwa raha zetu wenyewe
 
Last edited by a moderator:
mie wala staki kukubeba juu juu, nashukuru kwa gauni. Limenitoa haswaa. Ofcoz ni siri yetu, uthijali. Ndo mipango ya mjini.

!kuna mtu kanionea Paw sehemu nimevurugwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom