Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

Bora sisi wanaume hatuvai, maana akina sisi tuna matege, viatu soli zinalala 45 degree na daladala zetu kupata siti labda uwahi ya dereva. yaani Mtambuzi 'Mzee wa kalma' sipati picha ingekuaje? lol.

Ha ha ha haaaaaa.....
Hapo kwenye BOLD nimecheka sana aisee..................!!!!!!!!!!
 
afadhali hujanitaja mbona yangekushuka shuuu

Tena wewe....
Halafu tule tu viatu twako twa siku zile usije navyo tena nyumbani kwangu, mweh, nusura unitoboe ukucha wa dole gumba la mguuni...! Mama Ngina kasema maroufouk kuvaa hivyo viatu tena, vaa sandles za Kichina ni saizi yako....
 
Hivi viatu vya mchuchumio ni viatu vyenye soli ndefu au viatu visivyokuwa na soli ndefu?
 
Tena wewe....
Halafu tule tu viatu twako twa siku zile usije navyo tena nyumbani kwangu, mweh, nusura unitoboe ukucha wa dole gumba la mguuni...! Mama Ngina kasema maroufouk kuvaa hivyo viatu tena, vaa sandles za Kichina ni saizi yako....
nivae sikuna mchana kweupe nani anisifu,nikiteguka itakuaje.
 
nikivaa mnchuchumio,lazima niwe na spare flat shoes.nilijaribu kufanyia mazoezi mchuchumio wee,naona siuwezi.ila kisigino kipana{wedge} huwa naweza

Isije ikawa ni wewe niliyekuona juzi hapa maeneo ya flani ukitembea pwata pwata kama bata...............LOL

Duh, bora unatembea na spea aisee.................
 
Mimi wakati mwingine huw anacheka sana huko barabarani, ukiwaona dada zetu kwenye mitoko jinsi wanavyotembea utadhani bata...
Yaani mpaka unajiuliza, 'kavalishwa...!'

Najua ni mambo ya fasion, lakini fasion si kuvaa tu, bali pia na kumiliki kile unachokivaa sio kikumiliki wewe..........!

Bila shaka simu yako ya kichina ina tatizo la herufi H haibonyezeki, weka greese
 
high+heel.jpg

Pongezi kwa wanyange wote wanaovaa viatu vya mchuchumio, embu check hicho kiatu na mguu unavyoingia kwa mwanaume hapo ni issue nzito
 
mi na huu mwili wangu ujanja wa viatu virefu sina !mudamwingi sana ni flatties!na ikinilazimu virefu basi huwa ni vile vyenye visigino vipana!
shemeji ujumbe nimepata !
 
mi na huu mwili wangu ujanja wa viatu virefu sina !mudamwingi sana ni flatties!na ikinilazimu virefu basi huwa ni vile vyenye visigino vipana!
shemeji ujumbe nimepata !

Ha ha ha haaaa, sipati picha nakutana na wewe maeneo ya Posta unakula kona na High Heel Shoes ukiyumba kwa mbwembwe...................

Weweeee, kama your hubby hajakukuta MOI umening'iniziwa vyuma vya KG 20................
 
AHAHHAHAHHA !huo ujanja sina mwaya!zinipite tu style !mi nikipiga umini wangu au gauni fupi down lazima nina kitu cha kichina kwa uflat!wavae tu wenye miili yao!na mi si unajua nina eneo la kufidia mahasira ya kushindwa kuvaa viatu vya kimiss!
 
Na kweli shemeji, maana umejaaliwa kishuzi cha ukwee, enzi za ujana wangu, nilikuwa nauza ng'ombe za urithi ili kumpata mrembo wa aina yako.............Una bahati sana wewe...................LOL
 
Nakiomba hiki!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mchuchumio mie ulishanishinda siku nyiiiiiiingi, na huu urefu nikivaa si nitakua kama ngongoti? Navaa size fulani ya mchuchumio tena kwenye functions tu, ikizidi size niitakayo sivai........ Kisa cha kutegua miguu mie
 
Mimi wakati mwingine huw anacheka sana huko barabarani, ukiwaona dada zetu kwenye mitoko jinsi wanavyotembea utadhani bata...
Yaani mpaka unajiuliza, 'kavalishwa...!'

Najua ni mambo ya fasion, lakini fasion si kuvaa tu, bali pia na kumiliki kile unachokivaa sio kikumiliki wewe..........!

ni kweli inachekesha aisee. Kuna siku nilisafiri na dada mmoja, wakati tunaenda kupanda ndege nikajua ni mlemavu. Nikatamani kumsadia but didnt for security reasons. Wakati tunashuka ndo nikagundua kumbe ni viatu. Alikuwa na bag kubwa lisilo na matairi na hakulicheck in. Nilimshangaa kimoyomoyo.

Kitu muhimu ni kuhakikisha viatu vinakupa support ya kutosha. Kama siwezi kutembelea kwa madaha (kama mama), na kwa haraka (i walk very fast hata kama sina haraka) basi viatu hivyo siviwezi. But high heels are so sexy kwa kweli, manake vinabadilisha hata mirindimo.

Ni muhimu pia kuvaa viatu kutegemeana na occassion. Mfano, kuvaa very high heels ofisini, ni kujiadhibu. Ndio unakuta ofisi nzima kila mdada kavaa vindala vya kimasai. Saa ya kutoka ndo anavaa viatu. Muda wote unakuwa kwenye gari hata hufurahii viatu. Ni muhimu kuwa na height tofauti kwa occassions tofauti.
Japo sio rahisi sana kuitwa mwanamke, lol. Mata ujitoboe macho na mascara, mmmppphheewww!
 
nikivaa mnchuchumio,lazima niwe na spare flat shoes.nilijaribu kufanyia mazoezi mchuchumio wee,naona siuwezi.ila kisigino kipana{wedge} huwa naweza

jaribu kuangalia unene wa kisigino utapata vilivyo comfortable. Labda huwezi msumari kama huo wa kim, ila kisigino kikiwa kinene zaid kidogo wala hutajua kama umevaa high heels. Mie zinanishinda jokomo (hiz za siku hizi zina mbao dizaini hadi mbele kwenye vidole). Jinsi vidole vyangu vinavyokuwa chini ndo ninavyokuwa comfortable, hizo najiskia kama ngongoti.
 
Na kweli shemeji, maana umejaaliwa kishuzi cha ukwee, enzi za ujana wangu, nilikuwa nauza ng'ombe za urithi ili kumpata mrembo wa aina yako.............Una bahati sana wewe...................LOL

bora!yangekuwa mengine hapa!ahhhahahahahahhahahhahhahhaha eti ng'ombe wa urithi duh!dadangu ana kazi i see ,mweh!
 
Back
Top Bottom