Viatu vya mchuchumio vinavyowatesa wanawake…..!

Karibu Mkuu Mtambuzi, huwa nacheka sana naposoma matukio yako, maana kikishanuka lazima ulimwe KALMA kwanza ndio ujue nini kinaendelea, sijui kama ulishakutana na kitu cha left, usiombee ukutane nacho, lazima uone nyota mwanzo mwisho na kwenye masikio unasikia tu mangwi wa Tttnnnnnnnnnnnnnn. akirudisha nyingine, uuwwwii, kwa heri!!!

Chezeya kalma wewe!
Ha ha ha haaaaaa.....
Hapo kwenye BOLD nimecheka sana aisee..................!!!!!!!!!!
 
wakitanzania hawaumii sana maana wanakuaga na malapa kwenye vipima joto vyao!!
 
Shem usivae kabisa utashindwa kukimbia!
mchuchumio mie ulishanishinda siku nyiiiiiiingi, na huu urefu nikivaa si nitakua kama ngongoti? Navaa size fulani ya mchuchumio tena kwenye functions tu, ikizidi size niitakayo sivai........ Kisa cha kutegua miguu mie
 
Kweli shem si kila fashion itamfaa kila mtu!

mi na huu mwili wangu ujanja wa viatu virefu sina !mudamwingi sana ni flatties!na ikinilazimu virefu basi huwa ni vile vyenye visigino vipana!
shemeji ujumbe nimepata !
 
Ashukuriwe muumbaji wa vitu vyote! Amen

Na kweli shemeji, maana umejaaliwa kishuzi cha ukwee, enzi za ujana wangu, nilikuwa nauza ng'ombe za urithi ili kumpata mrembo wa aina yako.............Una bahati sana wewe...................LOL
 
Ninge shangaa kama mrembo huvai. Hongera

Kwakweli mimi bila 6 inch sijatoka. Labda kama naenda sokoni.
Kama ni mziki hauchezeki bila high heels. I love love them.lolest.
 
AHAHHAHAHHA !huo ujanja sina mwaya!zinipite tu style !mi nikipiga umini wangu au gauni fupi down lazima nina kitu cha kichina kwa uflat!wavae tu wenye miili yao!na mi si unajua nina eneo la kufidia mahasira ya kushindwa kuvaa viatu vya kimiss!

Aaahhhh . . . . .mie ni mwendo wa bajaji tu!
Mchina hoyeeeeeeeeeeeeeee!!!!

Hizo high heels mpaka nijisikie, na siwezi vaa huo mchongoko wa Mtambuzi!!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi zamani nilikuwa mteja sana wa Hivi viatu ..Nakumbuka siku moja nilidondoka na kiatu mguu ukaumia
Ilikuwa Party pia kumbe aridhi ile ukikanyaga kiatu kinaingia kwenye udongo
Sitasahau kisigino cha kiatu kilikatika sikumbuki ilitokeaje
Sasa nimepunguza kuvaa viatu virefu..

Hiki unatembea nacho aje?

high_heel.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi hahahahaaaa umeniandikia mimi au yule dadako pale nje siku ileeeeeeeeeeee..........
Unajua unakosea kusema kama bata....bata ndo kaumbwa hivyo ana matege yake namove kwa maringo! Hali kadhalika wanyama wengineo!

Cha msingi ni uwezo wa kuvitembelea! kama uko comfy unaweza kutimba navyo daily ofisini poa tu!!!

Ila kuna issue ya kuumwa mgongo na viuno huko mbele............ngoja watafiti watifue
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom