Venezuela yashambuliwa na Marekani

 
Inasemekana kuna Maafisa wa Serikali kutoka China wako Venezuela na wamefika masaa 4 kabla ya uvamizi kutokea,
China sio wa kuwategemea,wote wazembe hao,masaa 4?🙆😀
 
Magari na watu wengi sana mtaani. Inaonekana raia wanakimbia Caracas.
 
Kwetu hapa bado tunawaza vita vya kuviziana vichakani na RPG na SMG,

Bila kusahau kupiga raia wanaovaa nguo zinazofanana kidogo na sare zao
 
Marekani imerudia tena kwa mara nyingine imeanza lipua maeneo mbali mbali ndani ya Venezuela baada ya kusimama kwa zaidi ya saa 1
 
Marekani imerudia tena kwa mara nyingine imeanza lipua maeneo mbali mbali ndani ya Venezuela baada ya kusimama kwa zaidi ya saa 1
Washapata new intel
 
Wewe upo na sisi hapa kwa Mtogole au upo ughaibuni?
Nipo hapahapa na tabu ya maji imetupiga wote mwezi disemba, tumepikia maji chumvi sana. Sasa kwanini viongozi wanakwepa kutatua matatizo na kusingizia mabeberu,? Si bora tupigwe tu tujue moja.
 
Ongea na raia wa Iran akupe ushuhuda acheni kuleta upumbavu.


Mnaipinga CCM tanzania ila yakitokea ya CCM nchi zingine mnaanza kuleta huruma.


Nakwambia Tena tafuta raia wa Iran akuchambulie issue za Iran tangu Nchi Yao ivamiwe na tawala za kiislam.

All in all utawala wa iran uliingia Kwa mapinduzi na wao wataondoka Kwa mapinduzi.
 
Makazi ya Waziri wa Ulinzi yashambuliwa na yeye na wasaidizi wake hawapatikani.
Haijulikani kama kafa au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…