Venezuela yashambuliwa na Marekani

Kama hapa bongo tu, ndio hao kina madelu, wanatuita watu wazima na mizuzu yetu guys,
 
Hivi ina maana Venezuela wamekosa manpads kama zilizozuia Urusi kutua Kyiv?
Au ni uzembe au wanajeshi nao wamechoka?
Ukraine ana msaada kutoka USA na EU yote. Naamini Russia hajaamua tu kuchukua Ukraine yote.
 
Navy yote ya Venezuela imeshambuliwa.
Makao Makuu ya Anga hayapo tena
General Command and Control haipo tena

The US has air dominance over Venezuela
 
Ukraine ana msaada kutoka USA na EU yote. Naamini Russia hajaamua tu kuchukua Ukraine yote.
Angeweza ile 2022, kwa sasa Ukraine naye kajipanga haswa.
Ili jeshi letu liendelee linapaswa ajiri watu wenye akili, vita ya sasa si ya kuvunja matofali bali jinsi ya kukwepa FPV drones
Ukraine kwa sasa inasemekana ana wanajeshi 50,000 ambao wao ni drone operators
 
Marekani akiamua kukuchomoa unachomoka tu. Na usipochomoka utatumia gharama kubwa kubaki.


Ile Arab spring ilienda na Ghadafi, misri, Tunisia. Majuzi Syria imeenda.


Moto umezuka Iran muda si muda.
 
Marekani akiamua kukuchomoa unachomoka tu. Na usipochomoka utatumia gharama kubwa kubaki.


Ile Arab spring ilienda na Ghadafi, misri, Tunisia. Majuzi Syria imeenda.


Moto umezuka Iran muda si muda.
 
Navy yote ya Venezuela imeshambuliwa.
Makao Makuu ya Anga hayapo tena
General Command and Control haipo tena

The US has air dominance over Venezuela
Duh sasa kuna vita tena hapo?
 
Zaidi ya Maeneo 100 ya kijeshi yashambuliwa na US Airforce na Navy
 
Inasemekana kuna Maafisa wa Serikali kutoka China wako Venezuela na wamefika masaa 4 kabla ya uvamizi kutokea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…