Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,123
- 60,862
Wakati Jonathan Goodluck alikuwa Rais alitaka hawa wamalizwe, basi alitoa ridhaa jeshi lipewe fungu kubwa sana kwa ajili ya silaha za kila aina ili kupambana naoMaana inaonekana wale jamaa walikuwa wanalindwa na watu ndani ya Serikali ya Nigeria, toka siku ile ile sehemu pamekuwa kimya sana
🤣🤣🤣 Marekani sio kimbijiIran walishashindwa
Hicho ni kipigo cha mwana ukomeOgopa mtu anakutandika halafu hasemi kitu wewe ndio unapiga kelele.
😀Ogopa mtu anakutandika halafu hasemi kitu wewe ndio unapiga kelele.
Hawa jamaa sio wa kucheza nao kabisa,maduro kelele zote zile anachukuliwa kama kuku ndani ya nchi yake na jeshi lipoRais wa Venezuela na Mke wake wamekamatwa na wanapelekwa Marekani muda huu
Watekaji wapuuzi tu, unateka mtu hujui hali ya afya yake unambaka au kumfira huo ni zaidi ya upumbavu na unyamaWatekaji si wapo bwashee 😅
Nimeamini ule ukimya walitaka kwanza wamdake ndo waseme.Aisee nimeona CNN
Wamchukue na ShumiletaHawa jamaa sio wa kucheza nao kabisa,maduro kelele zote zile anachukuliwa kama kuku ndani ya nchi yake na jeshi lipo
Hawa jamaa sio wa kucheza nao kabisa,maduro kelele zote zile anachukuliwa kama kuku ndani ya nchi yake na jeshi lipo
Ila Venezuela ilizungukwa na wanafiki sanaOgopa mtu anakutandika halafu hasemi kitu wewe ndio unapiga kelele.
Kweli??🙄🙄🙄Rais wa Venezuela na Mke wake wamekamatwa na wanapelekwa Marekani muda huu
Mkuu naona heshima inerudi. Kipigo cha masaa machache wanaingia na kumchukua Rais wa nchi?US irudishe heshima Sasa, ilifika hatua mpaka wavimba macho wakaanza dharau
NI balaa "who are you" sio wa kuchezea.Yep, wamemkamata, wanapelekwa US
Safi kazi mzuri sanaYep, wamemkamata, wanapelekwa US
Kuna wakati ilifika Hadi viongozi wa nchi za kusadikika wakaanza dharauMkuu naona heshima inerudi. Kipigo cha masaa machache wanaingia na kumchukua Rais wa nchi?
US baby...
Cc. Nyani Ngabu