Msuli pia ni vazi ambatanishi la Kiislam, msillete masihara kwenye dini za watu, sawa bwana Mwita? umeona mtu kamwaga kabisa ni kanzu we unasema msuli umeyatoa wapi hayo? ACHA HIZO.
Alivaa nini? Msuli?[/QUOT
Msuli ndo nini kaka

Mimi sijasema Mbowe anakosa! Nimesema amefanya vizuri hasa kwasababu chama chake kilichafuliwa na siasa chafu za udini,soma vizuri hoja kabla ya kukurupuka kujbu
Alibakisha kitu kimoja akamilishe vazi rasmi la waislam malapa yenye rangi tofauti.Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini

Alibakisha kitu kimoja akamilishe vazi rasmi la waislam malapa yenye rangi tofauti.
Haswa halafu ukimsachi mifuko ya kanzu hukosi pilipili au ndimu.teh teh teh! Mkuu ukiona mwislamu kavaa malapa yenye rangi tofauti ujue siku hiyo anatembea na mguu moja, mwingine wa kuazima
Shule za kata ata workHakuna hati miliki ya vazi la kanzu kwa waislamu bali ni utamaduni hasa kwa watu wa pwani kule Kagera hasa bukoba kanzu huwa ni vazi rasmi la wazee wakati wa sherehe za harusi au utojina upokeaji mahari,bibafsi sioni kosa lolote kwa Mh Mbowe.
Shule za kata at workKiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini
Kama hujiamini usikosoe wenzako.Shule za kata ata work

Alivaa nini? Msuli?[/QUOT

Msuli ndo nini kaka

muscle.