Vazi la mh Mbowe leo bungeni limenifurahisha

canaan

Member
Mar 1, 2008
46
6
Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini

Msuli pia ni vazi ambatanishi la Kiislam, msillete masihara kwenye dini za watu, sawa bwana Mwita? umeona mtu kamwaga kabisa ni kanzu we unasema msuli umeyatoa wapi hayo? ACHA HIZO.

• Thanks
Reactions: FJM
Msuli pia ni vazi ambatanishi la Kiislam, msillete masihara kwenye dini za watu, sawa bwana Mwita? umeona mtu kamwaga kabisa ni kanzu we unasema msuli umeyatoa wapi hayo? ACHA HIZO.

Mimi sikumuona ndiyo maana nimeuliza.

Hakuna hati miliki ya vazi la kanzu kwa waislamu bali ni utamaduni hasa kwa watu wa pwani kule Kagera hasa bukoba kanzu huwa ni vazi rasmi la wazee wakati wa sherehe za harusi au utojina upokeaji mahari,bibafsi sioni kosa lolote kwa Mh Mbowe.

Mimi sijasema Mbowe anakosa! Nimesema amefanya vizuri hasa kwasababu chama chake kilichafuliwa na siasa chafu za udini,soma vizuri hoja kabla ya kukurupuka kujbu

Mimi sijasema Mbowe anakosa! Nimesema amefanya vizuri hasa kwasababu chama chake kilichafuliwa na siasa chafu za udini,soma vizuri hoja kabla ya kukurupuka kujbu

Wewe ndo umekurupuka kujibu ulichokosolewa ni kulazimisha kuwa Mbowe kuvaa kanzu ni kuondoa udini wa CDM,hata mbowe akifuga ndevu km Osama ukweli utabaki palepale CDM HAKUNA UDINI BASI...Si suala la mavazi,

mnaanza na maneno yenu ya kashfa, mnaanzisha thread ili mkashifu imani za watu, mbowe kuvaa kanzu na koti kuna ajabu gani? kwani uislam ni kanzu na koti?

Alibakisha kitu kimoja akamilishe vazi rasmi la waislam malapa yenye rangi tofauti.

teh teh teh! Mkuu ukiona mwislamu kavaa malapa yenye rangi tofauti ujue siku hiyo anatembea na mguu moja, mwingine wa kuazima

Hakuna hati miliki ya vazi la kanzu kwa waislamu bali ni utamaduni hasa kwa watu wa pwani kule Kagera hasa bukoba kanzu huwa ni vazi rasmi la wazee wakati wa sherehe za harusi au utojina upokeaji mahari,bibafsi sioni kosa lolote kwa Mh Mbowe.
Shule za kata ata work

Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini
Shule za kata at work

Hata avae kanzu na koti na malapa ukweli una baki pale pale UDINI chadema hautasafishika, watanzania wameisha lijua na wanakipotezea chama ambacho ni tawi la CDU, christian democratic union.

napita thread ina wenyewe hii! Najuuta kufungua maana kama kariakoo full mipasho si mjadala kwa great thinkers!

Back
Top Bottom