Mtz ni masikini tena wa kuchongwa na hataki mambo ya kidunia yeye atabaki na utamaduni wake wa kuvaa mitiView attachment 637112Miss Tanzania, Lilian alivaa vazi hili huko Marekani, Las Vegas. Maelezo ya picha hii yanasema vazi hili ni bora (the best) kwa kuwakilisha utamaduni wa Mtanzania.
Wanamitindo mnisaidie.