Vazi hili linamwakilisha Mtanzania kivipi?

earl

Senior Member
Aug 30, 2012
138
181
What is this.jpg
Miss Tanzania, Lilian alivaa vazi hili huko Marekani, Las Vegas. Maelezo ya picha hii yanasema vazi hili ni bora (the best) kwa kuwakilisha utamaduni wa Mtanzania.

Wanamitindo mnisaidie.
 
Vazi la mtanzania si ni la C.C.M?kwa nini wakamvalisha hivi?huyu ni mturukana wa huko kenya sisi ni C.C.M
 
Huwa nataman tupate national code kama nchi nyingin lakn wabunifu wetu n vilaza
 
kichefuchefu ilipaswa wampeleke jalalani akaokote makopo na hayo makorokoroaliyovaa
 
Simlaumu hata kidogo. Huo ni ubunifu wake. Watanzania tumekuwa na mavazi ya kila aina hapo zamani za kale. Historia inasema tumevaa magome ya miti, majani, ngozi za wanyama, kaniki n.k. Hatuna vazi rasmi la taifa. Si vibaya kuendelea kuwa creative mpaka tufanikiwe tupate na kukubaliana vazi la taifa liwe lipi. Kama ni kaniki, mgolole, khanga au vitenge basi tukubaliane na kupata national patterns na mvao ambao utatu-identify Watanzania.
 
Ni vazi zuri.
Mtaani kwetu miti ya vazi hilo itakuwa na soko.
 

Attachments

  • 1511592347660490447102.jpg
    1511592347660490447102.jpg
    190.5 KB · Views: 65
View attachment 637112Miss Tanzania, Lilian alivaa vazi hili huko Marekani, Las Vegas. Maelezo ya picha hii yanasema vazi hili ni bora (the best) kwa kuwakilisha utamaduni wa Mtanzania.

Wanamitindo mnisaidie.
Mtz ni masikini tena wa kuchongwa na hataki mambo ya kidunia yeye atabaki na utamaduni wake wa kuvaa miti
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom