Popote ulipo Mzee wetu kipenzi,rais utakayebaki kwenye mioyo yetu Watanzania milele...Mh. Jakaya Mrisho Kikwete sikia ombi la rubii.
Love is not a crime...
Nawasilisha

Happy valentine day too, the most beautiful girl.... Uwe na upendo huo huo hata kwa wale watu wawili uliotibuana nao... Then Dina umesahau miss chagga ???
Ndio maana nakuaminia sana STUNTER utakuwa mwanaume mzuri sana kwa jje's ,
Wale watu sina shida nao ila wao wana shida na mim na siwafikirii kabisa ,nadhani umeona walivyo na matatizo bila kuniongelea siku kwao haiendii nadhani wanajipa faraja
Kuhusu miss chagga nimemsahau tu hapo unajua huwezi kumbuka hapo hapo watu wote,wapo wengiii sijawaorodhesha laki nawaaminia kwelii watu wangu wa nguvu
Happy valentines day