Valentines Special Thread 2017

Happy valentine rubii. Mwenyezi Mungu akulinde na kukutunza. Zawadi yangu kwako ni kukuombea ili ufanikiwe katika kila utendalo,uwe na amani furaha maishani mwako.
 
Je Wajua?

Tangu azaliwe Bwn. Mu ammad Ibd Abdullah...mpaka akafikisha miaka 25 na kumuoa Mjane bi Khadija (40) hajawahi kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake.

Hata baada ya kuendelea kuishi mpaka kufa kwa Homa pia hakusheherekea siku ya kuzaliwa kwake.

Ninyi Mnaosheherekea birthday ya Muhammad ibn Abdullah (Muhammad S.A.W) mmeiotoa wapi hiyo?


Huo si ushetwain?
 
inaumiza sana pale unapomtakia siku njema shemeji yako wakati Dadayo hujamtamkia
Happy Valentines Day to you Le super wife of Stunter Boy,my cousin
I love you my wii, yours will not be as simple as this, I will come personally with a lot of gifts to cherish your day.
 
If you marry the right person, everyday is Valentine's Day. Marry the wrong person, everyday is Martyrs Day. Marry a lazy guy, everyday is Labour Day. Marry a rich fellow, everyday is New Year Day. You marry a childish guy, everyday would seem like Children's Day. Marry a cheater or liar, everyday will become April Fool's Day. If you don't get married, everyday is Independance Day..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…