ameshaomba radhi dear msameheni afu ndo nini kunisusa namna hii
Hahahaaaaa! LOVE IS ON THE AIR! My baby Matola, i am missing you a lot kokote ulipo! Mwaaaaaaaaa!
Hivi jamani humu hua hamlaliii
Mi nimependa hicho kiatu niazime ntavaa kwenye harusi ya Vaislay
nina hali nzuri tu kwasababu sio kila ukitongoza basi unakubaliwa ujue hata kukataliwa kupo ila kinachonishangaza ni jinsi ambavyo marafiki wamelikomalia hili suala utafikir naenda kuwaoa wao
Nimependa avator yako
kwi kwi wengine walinzi dina lol
dina harusi hamna acha uchokozi
Mi nipo tayar kuolewa kama vaislay hatak
Yaan ukitaka uige wa humu hutolala maana watu wamo tu aisee kweli watu mna nyota ya mbwa nimeaminii
Ukisikia mchawi ndo wewe haya olewa sasa
nilishaomba radhi tayar ndg, kama sijasamhewa basi. Nilipanic kwa kauli za baadhi ya wahusika wa humu. Bora ambavyo sikujiregister nilikuwa naangalia tu vulumai zao
Unadhania wanawake wapo humu sie wengine tumejiandiks majina ya kike lakini ni madumeee mamaeee