Vaislay unahtajika

Vaislay unahtajika

Enh yalifika huku!
Oddo amu update ya lisredi umeipata mdogo Wang?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata mitego hii midogo imekushinda!!Hapo ulikuwa unapimwa utayari na busara zako,wewe ushakimbilia kusema "JF hakuna wanawake!!Kwa hiyo Vaislay keishakuwa dume tayari!??

Hukuwa na mapenzi ya dhati wewe!Kirahisi hivo unakata tamaa!![Bora umeona....hana maana hata kidogo huyu mwanaume
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna watu wanajianzishia thread ili kujipatia umaarufu!

Hakuna jipya hapo tushastuka bhana!

asubuhi njema amu!
we naeeeee roho ngumu ka mkaanga sumu .
Sio vizuri ujuee!
 
Ha ha ha my lovely shem Sungura 1980 nashukuru kwa ubusara wako wa kumjibu mhusika huyu
Kijana hii yote ilikuwa mitego midogo tu na changamoto kwa maana hat unapoenda kujitambulisha sio wanajamii wote wanakubali wengine wanaweka pingamiz
BT the way utakavyokuwa umemuandaa, upendo, uaminifu, kumjali mwenzio sio rahis asikie LA pembeni

Umetumia lugha sio nzur kuniquote " mashangingi" jf may be wew mgen tumia busara zaid kujibu kama kweli ulikuwa unamaanisha challenge ni nyingi ...hapa msituni hatufahamiani usipanic kiivyo . Vaislay nadhani umeona jaribio langu LA mm kuwa pinzani na harusi na majibu tulopota.
 
ameshaomba radhi dear msameheni afu ndo nini kunisusa namna hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom