Vaislay unahtajika

Vaislay unahtajika

Nakutaka radhi basi eti shemejii ushakubaliwa kwanza au naita shemeji kwenye hamnaa
ICHANA na la milele daima@Kaizer wameshasitisha hili, Na mimi nimekubali Msimamo wa wanandugu,hakuna ushemeji hapo
 
Last edited by a moderator:
Michepuko tunanyanyapaliwa! Mbona mi sikuitwa?!

Ila raha ya kuwa mchepuko ni kuwa huwekwi benchi... nafasi yako ipo tu...
 
Michepuko tunanyanyapaliwa! Mbona mi sikuitwa?!

Ila raha ya kuwa mchepuko ni kuwa huwekwi benchi... nafasi yako ipo tu...

anaanza kutajwa wa daima halafu wengine wanafata, subiri utatajwa tu...jamaa hajajua mke anayemtaka anamichepuko miguuni na kichwani lol!!!:smile-big::smile-big:
 
Big up mkuu,mungu ajaalie aendane na matarajio yako
ni kweli ndg yale maneno unayoyaongea sku zote ndio hutoa picha ya kile kilichomoyon sku zote.
Nmegundua ni mtu anayejitambua,na anaitambua hali ya maisha yanaendaje?
 
Back
Top Bottom