Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Hivi jamani humu hua hamlaliii
Hivi kwanini Song alimpiga ngumi yule forward wa Croatia?
Hivi jamani humu hua hamlaliii
futa kauli yako ya kuwaita wanawake wa humu mashangingi
hahahahahahaha dina na kwanini uige na kaka yangu msukuma utamwachia nani
Ndio hapo sasa nakuambiaa wakati analitaka joto langu
haya: jaman wana jf nmetengua kauli ya kuwaita {nyinyi ni mashangingi} kwanzia sasa nyinyi sio mashangingi ila wife material mliobarikiwa..... Waone
Dinazarde unasema??!Hahahaaaaa,JF raha sanaUnadhania wanawake wapo humu sie wengine tumejiandiks majina ya kike lakini ni madumeee mamaeee
hahahaaa ndowa mucheZo haha
Muone mwenyewe halaf wewe utakuta una sura ka greda la manispaa
Muone mwenyewe halaf wewe utakuta una sura ka greda la manispaa
Nimeanza mda mrefu sana kumsoma huyu dada hajawahi kuwa na majibu ya kuudhi na ni mtulivu wakat wa hatari. Vaislay nmekupenda sana nahitaji uwe mke wangu. Tafadhari sana nipo serious na hili.
Hivi kwanini Song alimpiga ngumi yule forward wa Croatia?
Nimeanza mda mrefu sana kumsoma huyu dada hajawahi kuwa na majibu ya kuudhi na ni mtulivu wakat wa hatari. Vaislay nmekupenda sana nahitaji uwe mke wangu. Tafadhari sana nipo serious na hili.
huwezi kuja juzi tu hapa alafu ujifanye unataka mademu za watu.....ivi unazipenda kucha zako ndugu......du, unajua kiutaniutani unaweza kutupiga bao hivihivi.
F.ala tu yule!
Ngoja nicheki na invizibo azimeji Aidii zenu. Naona hapa mnanichezesha shere.