- Thread starter
- #101
tahadhari kuna kulea mtoto wa bao la mwanaume mwenzio
ni tahadhari unaweza ukaipuiza
ndg kwan unamaanisha nn?
tahadhari kuna kulea mtoto wa bao la mwanaume mwenzio
ni tahadhari unaweza ukaipuiza
mapenzi hayachagui siku hahahaaaa
hatimaye ntapumua na habby wangu.....lol
hujachukiza ila mi nliizoea sana ile...
hatimaye ntapumua na habby wangu.....lol
hatimaye ntapumua na habby wangu.....lol
ahahaga amu hawa wa 17 june hawana swaga au Jerrymsigwa namweka kiporo cha akiba ya njaa wala sijabwaga manyanga lolMy super sweetest husband JERRY Msigwa yupo busy na box.
Hizi ni drama za kina mwafulenge na zinaendelea.
Ha ha ulishindwa wewe kuwa mchepuko wataweza wengine waliojiunga 17 june.
Usifurahi sana ntabadili mimi
Usifurahi sana ntabadili mimi