Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba.

Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba.

Leo sisikii hata gari zikipita huko barabarani kwani leo kuna nini?
Huku mvua tuu inazidii haaahaa.. isije kua CCM wamepiga bomu la mvua kama zile za LOWASSA

You tube na CHATGPT kwangu hazifanyi KAZI

Nimenunua bando yas wamenidhulumu hapa pesa zimekatwa bando halijaja

Mimi na SIMU smart zaidi ya mojaa
 
Ushafika bia ya ngapi hadi sasa hivi?
 
Ishu ni mbili tu, piga nyeto au ficha uboo wako ndani.
 
Wanangu sana tusiuze mechi imepita kama mwezi sasa ukubwa wa nyashna ulinifanya nipige kavu baada ya kukosa ndom maana ilikuwa usiku sana maduka yamefungwa, nakuja kushtuka asubuhi tushafanya yetu nikaamka nikawahi Pharmacy kuchukua vipimo vya HIV. Tukapima kila mtu yupo fresh nikapata ahueni maana binti anatokea ule mkoa ambao upo juu kitakwimu.
 
Back
Top Bottom