Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,445
- 46,203
Aibu utaona weweHuna aibu
Aibu utaona weweHuna aibu
Vaa KONDOMU sina aibu wakati nakukumbusha linda afya yako vaa CondomHuna aibu
KizimkaziSaa 12 na dakika 34 huko kwenye giza ni wapi?
Vijana wa Dar wenzenu wanaenda kupambania uhuru wa nchi nyie mnajifungia ndani.7/7 asubuiiii
Hapa kijichi mvua inanyeshaa mzee wangu min -me
Leo sitoki ndanii hapa nipo napiga zangu Serengeti apple 🍏 baridiii
Hahaha upo kizimkazi muda huu kuna nini huko?Kizimkazi
Hii siku haijakaa vizuri kabisa kwanza imeanza na mvua na baridi huko nje matope tupuVijana wa Dar wenzenu wanaenda kupambania uhuru wa nchi nyie mnajifungia ndani.
Ukiniwakilisha wewe wanjiku inatosha ndugu yangu.Vijana wa Dar wenzenu wanaenda kupambania uhuru wa nchi nyie mnajifungia ndani.
Kijichi wingu lilikua zito na kigiza hakuna watu barabara pia maduka yamechelewa sana kufunguliwa mpaka muda huu.Saa 12 na dakika 34 huko kwenye giza ni wapi?
Leo sisikii hata gari zikipita huko barabarani kwani leo kuna nini?Kijichi wingu lilikua zito na kigiza hakuna watu barabara pia maduka yamechelewa sana kufunguliwa mpaka muda huu.
Ashalewa huyoSaa 12 na dakika 34 huko kwenye giza ni wapi?
Hahaha Vaa Condom hizo hazitoshi kabisa tena hazitoshiView attachment 3624080View attachment 3624080View attachment 3624081View attachment 3624082View attachment 3624083View attachment 3624084
Sijakuelewa mkuu ina maana hizi zana hazitoshi?
Tatizo Condom nikivaa nachelewa sana kukojoa...naweza kupiga zaidi ya masaa 2 bila ya kukojoa!!!Hahaha Vaa Condom hizo hazitoshi kabisa tena hazitoshi
Sio zote zipo hivyo zipo ambazo ukivaa km hujavaa ila unakua umevaa kwa hio vaa CondomTatizo Condom nikivaa nachelewa sana kukojoa...naweza kupiga zaidi ya masaa 2 bila ya kukojoa!!!
Leo holiday, kamvua.. nipo home mwenyewe. Nacheki muvi Huku napiga mdogo mdogoMbona ni asubuhi sana kuzipiga serengeti mkuu😅
Hapa nimeanza kuchangamka hapaaaasubuhi asubuhi?
Twende mbele turudi nyuma condom hua tunavaa sawa ila ni kwashida shida tuu.. Macondom ni mavitu ya hovyo sana hayakaribii kabisa ule utamu natural.Sio zote zipo hivyo zipo ambazo ukivaa km hujavaa ila unakua umevaa kwa hio vaa Condom