Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,595
Reaction score
65,035
Huyu mwanamke alivyo mtamu nashindwa kumuacha

Nilimpendea muonekano wake, sura, umbo, urefu, rangi, pamoja na utamu wa shoo.

Nikajikuta nawekeza vijisenti vyangu ili mtoto asitaabike, na aendelee kunipa shoo tamu pale ninapohitaji.

Ili kuhalalisha umiliki, tukakubaliana niweke ujauzito, na kweli uliingia, lakini baada ya wiki moja tumbo lilimuuma sana, na ujauzito ukatoka.

Ingawa ata yeye hakutegemea kukutana na hiyo changamoto; ila alikuja kugundua chanzo cha tatizo ni kutumia tiba ya kutengeneza shepu pamoja na kupunguza unene.

Wanasema katika kutumia hiyo tiba, hakutakiwa kubeba ujauzito wala kunyonyesha. Na hii tiba aliitumia wiki mbili kabla ya mimi kupandikiza kizaigoti.

Kusema kweli, imeniuma sana, hapa nimempiga marufuku asitumie tena hayo mambo ya kutengeneza muonekano; mimi nataka tu awe na akili kichwani ya kulea uzao wangu na si shepu.

Changamoto iliopo wakuu, anameza hela sio mchezo. Hapa natembelea suruali zilizotoboka.

Ukichangia na kuharibika kwa ujauzito, na gharama za kumfanyia matengenezo, kichwa kinauma hatari.

Ama kweli, ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser​
 
usiige kunya mavi makubwa kama tembo, utapasuka msamba... jitahidi u mingle na level zako. itakusaidia sana
 
tafuta level yako kijana... hizo si level zako ni za akijna jk na lugumi. ndege wafananao huruka pamoja, walisema waswahili
 
Back
Top Bottom