Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

natafuta mchumba binti mrembo wa kiislam mwenye hofu na mungu sala 5 asiye na makuu umbo namba 8 mwembamba kiasi mrefu mweupe au maji ya kunde kifua kidogo yani maziwa umri miaka 20 mpaka 28 mfanya kazi au mjasiliamali aliye tayari inbox me nitajibu
 
nimemPM hajanijibu ombi langu wakuu,,,and I'm greater think abt yeye.:A S tongue:
 
Ndalichako tumekukosea nini hadi utufanyie hivi!
Kweli taifa limepewa adhabu!

HAHAHA, nimekukubali swagger, umeenda mbali zaidi ya tatizo lililopo!!, i lyk that....huyu jamaa aliyeanzisha huu uzi nadhani ni victim wa elimu ya tz....
 
Kwe kwe kwe kwe. 😀😀😀 haki ya mama wabongo mnanipa raha sana na maneno yenu mabovu bovu. Mungu awaweke.
Ameen
 
natafuta mchumba binti mrembo wa kiislam mwenye hofu na mungu sala 5 asiye na makuu umbo namba 8 mwembamba kiasi mrefu mweupe au maji ya kunde kifua kidogo yani maziwa umri miaka 20 mpaka 28 mfanya kazi au mjasiliamali aliye tayari inbox me nitajibu

sifa zote hizo awe Bench mpaka sasa? Subiri bahari ikauke Uvuke upande wa pili!
 
Mmmh jamani anasifia uumbaji wa Bwana Mungu....tatizo liwapi?
 
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!

Unawaaibisha kabila lako! nadhani unatoka BK, shame on you! Kotaina kya kugamba oyesize, mpuuzi mkubwa! Notukwasa enshoni,
 
Pia kuingia bank kudeposit au kudraw. Mwanaume hasifiwi sura kwani hata mbuzi anayo

Unazani nyie mnajali how much he deposits kwani??! only wothdrawal na spending ndo zinakuwa considered mtu kuitwa mwanaume siku hizi...!

Morning Mrembo by Nature
 
Last edited by a moderator:
Weka picha hapa tukione,mwanaume mzima unalalama!!!
 
Hili bwabwa ndo maana linapenda sifa jike sijui halijua kuwa wanawake wengi huwa hawaangalii sura kwa vidume zaidi we mpige mipini ya kufa mtu kisha akawaambie na wenzie uone watakavyokuja speed. Hili ni li kabaaaang si bure.
 
ss ww unajisifia mzuri una umbo zuri ukitongozwa na wanaume itakuwaje acha mambo hayo
 
Sweet boy: soko lako kubwa liko Uarabuni bora ukatembelee huko, hutarudi tena kwetu !!
 
Acha upuuzi dogo mwanaume hasifiwii sura hata siku moja mwanaumee anasifiwa wallet(si lazima awe na hela nyingi ila aweze mudu maisha) na uwajibikaji kitandani. Bassssssssss.
 
Back
Top Bottom