Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!!

Kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???

Naomba ushauri wenu. Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
Eee.. Mungu baba tunusuru na haya majanga! Mie nilidhani ni mwanadada, kumbe ni Dume zima linajinadi? Nina mashaka kama haupigiwi kupitia 0713......!
 
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!!

Kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???

Naomba ushauri wenu. Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
we utakuwa bwabwa, inakuwaje unajiita mwanaume mzuri? hivi mwanaume mzuri yukoje? yuko kama demu au?..sijui mwanaume mzuri yukoje, wazuri ni wanawake tu aisee....putuka zako huko usitupotezee muda.
 
Hao wanawake wanaopenda sura wapo karne ipi!!
Watu wanadeal n cash money hata ungekuwa chongo they don't care!!
Jisifie kazi sio eti urembo... 😡😡
 
waambie wewe sio mwanaume jamani, hivi hauoni uzuri wako na umbo lako?
 
Niliposoma tu na kuelewa bundi akasimama dede, hii ni noumer!!
 
Vp urembo wako unautumiaje? Ulisha wahi kushiriki u-miss au shindano lolote la urembo?
Kama bado, itabidi ufanye jitihada ushindane coz unaonekana vigezo vyote unavyo (sura nzuri na shep ya ukweli)
ukipata doo unikumbuke mwaego.
 
JF wangeweka option ya ku'delete' post. Nikushauri tu kuwa next time unapopost kitu kumu omba kwanza ushauri. Leo sikuiti mbulula, ila next time nitakuita zuzu
 
Mashambulizi anayoyapata huyu bwana mrembo yanaonyesha kuwa watanzania bado tuko safi kimaadili. Big up.
 
ukimuona mwanaume anajisifia uzuri mhurumie tu, ujue muda si muda wenzie watamfanya vibaya.
 
Ushujaa unapimwa kwa idadi ya makovu sio urembo. Mwanaume wewe fikiria kiume
 
Back
Top Bottom