Sio kazi pekeyake na hela juu ndio mwanaume anasifiwa. kama huna hela hamna kituMwanaume hasifiwi kwa uzuri, mwanaume anasifiwa kazi
Sio kazi pekeyake na hela juu ndio mwanaume anasifiwa. kama huna hela hamna kituMwanaume hasifiwi kwa uzuri, mwanaume anasifiwa kazi
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
We are all fine..no more complaints though kwetu ni huzuni kubwa kumpoteza mmoja kuliko kubaki na wengine tisini na kenda. Why don't u come back sweetheart??!
Ndio maana kuna msemo wa mwanaume asifiwe sura bali nini vileHivi wewe ni mwanaume gani unajifia sura na umbo? Haya bwana, biashara matangazo. WatakuPM wanao tafuta wanaume "warembo"
Huyo atakuwa wa Ngara au upande wa pili ukivuka mto Lusumo mbele kidogo ya BenacoUnawaaibisha kabila lako! nadhani unatoka BK, shame on you! Kotaina kya kugamba oyesize, mpuuzi mkubwa! Notukwasa enshoni,
Janga si kidogo hilo japokuwa siku hizi ni kawaida kusikia wadada hasa kwenye hizi radio zetu wakisifia jamaa yake ana sura na umbo lenye mvuto (very handsome kwa msisitizo), na wanaume nao siku hizi wameanza nao kujisifia baada ya kuona kuna wadada wanajisifia.lol.......hili ni janga jamani, wanaume wameanza kujisisfia sura sasa wadada tutasemaje? ndo maana siku hizi hawatoki kwenye dressing table. au ndo unataka kuikubali sheria ya cameroon?
mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! Kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! Na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.naitwa handsome boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
Ever forward never backward. Huu ndio motto wangu
sheria zimewekwa ili zivunjwe..sembuse motto....chomelea mbali urudi kwa kidum chako cha ukweh!!! wahenga wanasema, "why burn in the sun while everything is under one roof!"
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!
daaaaaaaaaaaaaaaaadeki!
mwanaume anajisifia ana umbo zuri!
ahahahhahahahhahahha cha! Kaunga mambo ya aina hii yakitokea uwe unaniambia bana!:A S 101:
halafu nilivyosoma tittle nilifikiri ni mwanamke. :/
ahahahhahah imagine!nitakuwa nakustua mwaya; halafu watu wanasema wanaume wapo.
Naye haoi kwa kuwa ni mzuri sana. LOL
Kuna uzi wa bidada mmoja anauliza eti wazuri hawaolewi; nikasema kumbe mimi siolewi kwaajili ya uzuri, na ninyi mliolewa mko less cute. LOL
Picha yako tafadhari
sijawahi kusikiakauli ya mwanamme akijisifia uzuri tangu nizaliwe wewe ndio wa kwanza looo