Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

ahahahhahah imagine!
yani kizzuri na kibaya ni kipi!
yani bado watu wanamini katika miili hii ya nyama??
yani ndoa ingekuwa ni miiili basi sheshe!
kwana ujue wanaodhani na kuamini mafanikio na mapungufu ya ndoa/mahusiano ni kutokana na maumblie bado wana kai sana na hatua ndefu kweli ya kuielewa akili ya mwanadamu!
hakyamama watabaki sana kuganda kwenye vioo na kutukana vioo vyao!
MI NIMEOLEWA KWA KUWA NI MIMI!MAUMBILE YANGU SI MIMI!

umeongelea kitu cha maana sana DOGO, thamani ya mtu ni zaidi ya muonekano wa hili gamba ambalo Mungu katuvika. Imagine, hakuna mtu kwa uwezo wake amefanya kitu hadi ku'achieve' jinsi alivyoumbwa. Nimetokea kuwa jinsi nilivyo, si kwa juhudi au kazi ya mikono yangu; so kwanini nijidaie kwa kitu ambacho ni by chance tu nimekuwa nacho.

i am more than mwili mimi ni being ambayo ipo special; hakuna Kaunga wa JF (courtesy ya Pasco wa JF) mwingine duniani; na that is a whole lot of things. Lakini kuna watu 101 wenye sura au umbile kama la Kaunga duniani humu but they will never be ME.
 
Last edited by a moderator:

ndo mana watu wanalia kila siku na hii kitu inaitwa malovee!
yani mtu anaingia kwenye mahusiano akiamini yeye ni mbaya,so ni haki yake kuuumizwa!na mwinngine ni muri basi hana haki ya kuumizwa!
cha!
nataka nianzishe hili darasa ujue!watu wajitambe jamani!
mijikope na sura ya wanja sijui weuoe na weusi wa mtelezo wa nyoka sio SISI!
WE ARE MORE THAN WHAT OTHERS SEE ON US!
 
Join Date : 24th April 2013
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given3

JIBU TOSHA
 
Blaki Womani aise nimeshindwa kucomment nimeingia chaka kwanza kuchimbua huyu jamaa anayejitengaza kuwa ni handsome nikakosa majibu aise
Sijui ni kizazi cha Mulugo hiki na Ndalichako sweetlady na mwalimu gfsonwin hebu kujeni pande hizi na kaka yangu mkubwa HorsePower na SnowBall

Nimeshangaaa mpaka nikashindwa kushangaa, yaani mwanaume anajiita mzuri, khaaaa! Nilizoea kusikia wadada wakiyazungumza haya na kushindania uzuri, but siyo kwa wanaume. Ninachojua mwanaume anasifiwa kazi!!! Naingia wasiwasi, kwamba kuna hatari tabia zake zikageuka kuwa tabia zile tunazozilaani.....
Mdongo wangu Nivea njoo huku unitulize moyo, nahisi presha imepanda ...
 
Last edited by a moderator:
nimeshangaaa mpaka nikashindwa kushangaa, yaani mwanaume anajiita mzuri, khaaaa! Nilizoea kusikia wadada wakiyazungumza haya na kushindania uzuri, but siyo kwa wanaume. Ninachojua mwanaume anasifiwa kazi!!! Naingia wasiwasi, kwamba kuna hatari tabia zake zikageuka kuwa tabia zile tunazozilaani.....
Mdongo wangu nivea njoo huku unitulize moyo, nahisi presha imepanda ...
this is dot.com generation sasa hivi navyeti vya ndoa vinaenda badilishwa
ni ndoa ya
mume/mume
mume/mke
mke/mke
hapo ndio presha itashuka ila nimekumisije nowdays hat asalamu hamna ila nazidi kukuombea sana najua what you are going thru kilala kheri
 
Nimeshangaaa mpaka nikashindwa kushangaa, yaani mwanaume anajiita mzuri, khaaaa! Nilizoea kusikia wadada wakiyazungumza haya na kushindania uzuri, but siyo kwa wanaume. Ninachojua mwanaume anasifiwa kazi!!! Naingia wasiwasi, kwamba kuna hatari tabia zake zikageuka kuwa tabia zile tunazozilaani.....
Mdongo wangu Nivea njoo huku unitulize moyo, nahisi presha imepanda ...

Mlkuu HorsePower nimeshindwa kujua dhana nzima ya thread kama hii au aliyeandika alikuwa anajua anaandika kwa sababu gani maana hakuna maana ya mwanaume kuandika kuwa yeye ni mzuri ili iweje
Na tunashindwa kuelewa pia alikuwa anataka wanaume wenzake wamwambieje
Dah sijui Mamndenyi yuko wapi aise anisaidie kutafsiri maana hapa
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli hata mimi nilijua mwanamke hee kumbe mwanaume khaaa
 
Roll call ya real men wakiitwa chukua kioo kajirembe. Wewe si mmoja wao. idiot.
 
Kidumu cha ukweh ni Mentor? kidumu kinaitesa ndoo aka mie sitaki kulizwa na wewe nshakuchoka

Sasa wewe ulitaka mi niwe kidumu ilhali una ndoo yako afu bado unanionea wivu mi nkiwa na vidumu vyenzako na ndoo yangu? I thought sheria ya vidumu ni kutokuona wivu na kutokuwa monopoly!!!:confused3:
 
we inabidi utafutwe upigwe mti, kuna wanaume wanatafuta wanaume warembo kama wewe...
 
Weka basi picha yako..wanaotaka kabaaaaaang waone maushepu lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Blaki Womani aise nimeshindwa kucomment nimeingia chaka kwanza kuchimbua huyu jamaa anayejitengaza kuwa ni handsome nikakosa majibu aise
Sijui ni kizazi cha Mulugo hiki na Ndalichako sweetlady na mwalimu gfsonwin hebu kujeni pande hizi na kaka yangu mkubwa HorsePower na SnowBall

hahhahahahaa nimeshindwa kumwelewa nikajua wakunisaidia ni wewe....eeehh mola wafumbue wajitambue mwisho wa kujisifu ataolewa ptuuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom