Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Haya tena makubwa kuna siku atakuja na mengine ooh mie mzuri mpaka nimekataliwa kwenda mikoa hii na hii ya hapa Tanzania.
 
images


nadhani hawa ni rafiki zako......
 
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!



fanya kama tyson jigeuze kuwa mwanamke, hakunaga mwanaume mzuri ulitakiwa kuzaliwa mwanamke,
 
Jamani mashalah imekuwaje tena mwanaume kutangaza uzuri wake khaa FP njoo muone huku mzuri mwenzako.
yaani siku hizi tunakoelekea ni kubaya sana......
sasa mwanaume sura nzuri ya nini? akaombe kuuza sura kwenye bongo movie...... watoto wa kike hatuna haja na sura..
 
Hahahahaha hii kali ya mwaka me nilidhan demu

Sent from my BlackBerry 9800 using Jamie's
 
Ukiona hivo basi wewe ni FEMI, upo kikike kike, sio kiume.
Au Unajipendezesha na kutumia vipodozi, wanakuisabu kama mwanamke mwenzao.
Wanawake wanapenda wanaume wa dizain hiyo, kiurafiki.
 
Mmh hao wadada wakupapatikiao bila shaka umri wao n below 15 ila wadada wajitambuao hawawez kugombania sura,polee we unahatar sn ktk dunia ya leo ielekeayo ukingon
 
Haya tena makubwa kuna siku atakuja na mengine ooh mie mzuri mpaka nimekataliwa kwenda mikoa hii na hii ya hapa Tanzania.

This is nt fair!! Inawezekana akawa ktk foolish age 2 huyu msameheni bure.
 
Back
Top Bottom