Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

mkuu samahani kidogo ni wanawake tu wanakugombania? hakuna mwanaume alionyesha dalili ya kukupenda?
 
bado utakuja na thread uzuri wangu umeniponza
 
Nina uhakika Dogo ana miaka 17,

By KALYANKOZILE:
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!!
 
unafaa sana kuwa Segerea at least one week ndo utajua thamani yako. By the way Camerun huyooooo.
 
lol.......hili ni janga jamani, wanaume wameanza kujisisfia sura sasa wadada tutasemaje? ndo maana siku hizi hawatoki kwenye dressing table. au ndo unataka kuikubali sheria ya cameroon?
 
Acheni kumsimanga jamani,ni kweli wapo wanawake wanaopenda ma handsome,eti King'asti, si ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!

Asante kwa kutu taarifu kwambakujeb wewe ni handsome..!!sisi tuliokawaida wacha tu husle tuvutte range rover...na freelander..maana kwa uzuri wako hakika ni mtaji utalipia bill, utajaza mafuta kwa verossa..na pia utajenga nyumbaa kwa uzuri wako daawhh
 
Wanaume wenzako ma handsome huwa hata hawataki hiyo sifa,ukiwasifia watakwambia kwani mzuri mie mwanamke?
Wewe naona unajiuza loo
 
Si bure utakua na pepo la ngono pole sana. Sasa kwa ushauri wangu nenda kaombewe kama walivyotangulia kusema wengine mwanaume pesa tu hata Hayati remmy ongala alikua anagombaniwa upo hapo. So mwanaume sio sura ingawa wapo mahandsome lkn kama hana pesa bwana inakula kwake.Cha msingi chukua hatua nenda kwa watumishi wa Mungu ukaombewe haraka kabla hilo pepo halijachukua hatua nyingine
 
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!

Vipi kuhusu wallet,imeshiba kadi za benki?kama jibu ndiyo,hiyo ndo sababu pekee!kama jibu siyo,nachelewa kuamini,kwa hawa wanawake ninaowajua mimi'.Hapendwi mtu'

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Labda nikuulize: ile meli aliyoahidi kikwete kwamba atainunua ili itoe huduma ziwa victoria kutoka kule kwenu mpaka mwanza imeshaletwa? naona hii nyingine imechakaa eti.

hahahahaa jaman usitake ncheke mie
 
Mhhh!. .Embu nikuulize kwanza handsome boy una umbo namba ngapi?
 
jina kama la kabila flani hivi weny tabia ya kujisifia
 
Back
Top Bottom