Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Uzuri wangu sasa umekuwa kero

Hivi ktk dunia hii kuna mwanamke anayempapatikia mwanamume mrembo?Pole yenu, ivi hamjui uzuri wa mwanaume ulipo? Na we mtoa mada ngoja nikupe hongera kwa kuzaliwa mzuri ila halahala!!Wenzio wanaolewa, shauri yako!Utakuja mliza mama yako bureeee!!!
 
Kuna tycoon hapa jijini nasikia anatafuna ma-handsome, wasiliana na theDEALER kutanua wigo wa matangazo..
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!

Sh.o.gyyyy boy wewe
 
Unaringia uzuri eeh, mwanaume kazi bwana sura hata dada yako anayo kha!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mwanaume mremboooooooooooooooooooooooooo!

Toa namba bana tukusaidie.
 
Boflo walamba lips hawa hapa, Preta na huyu n mmoja wao????

acha useng we mtt wa kiume weka picha, yan we ma pu..mbu kabsa
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu mimi sura yangu na umbo langu sasa vimenifanya kukosa amani,furaha na uhuru wa kuwa na mahusiano na nimpendaye na kufikia kusema maneno ya kumkufuru Mungu kwamba labda alinipendelea alipokuwa ananiumba!!!! kwani nimekuwa nikigombaniwa na kila msichana na wengine wamekuwa wakinichukia eti kisa sitaki kuwa nao kimapenzi pia wengine wamekuwa wakinitangaza kuwa mimi ni mchumba wao na wengine wamekuwa wakiniomba namba za simu na kunipigia wakibembeleza kuwa na mimi na mbaya zaidi wasichana wengine wamediliki kuanza kutumia nguvu za giza ili wanipate!! na mambo mengine mengi nimekutanayo mara baada ya kuingia utu uzima.Jamani nifanye nini ???naomba ushauri wenu.Naitwa handsome Boy kama wao walivyonibatiza!!!!!!!!

usiwasikilize hawa wanaosema mvuto wa mwanaume ni hela. Labda waseme hela ni muhimu zaidi kuliko mvuto. BUT OTHERWISE, MWENYEWE SITAKI KUHARIBU MY GENE POOL!

Sema tu ukianza kujipa promo, hiyo imekaa kikike zaidi. But if u think u got dat prety boy swag, heeeeh wachana a hii mutuz nyingine
 
kha!!!! Hiv kumbe wanaume nao huwa wanajisifia sura me nilijua mambo ya watoto wa kike basi subiri upate bwana
 
beautifulones6302010.jpg

mkuu una maana gani! Lol! Umenkumbusha mbali
 
Ha ha haa... Yaani nimecheka mbaya nilivyoisoma title nilizani ni mwanamke mwenzetu kumbe ni dume loh!

Me nadhani we sio rizki, mwanaume asifiwi sura babu coz hata beberu anayo!

We kaa ujisifie sura na shepu uone wanaume wenzio watakavyokufanya.
 
duh,nawaza kwa nguvu pia utakuwa na figure namba nane?kazi kweli
 
mwanamke ndo alitakiwa aandike uliyo yaandika.
 
Ukikua nkubwa uje na sredi inayosomeka 'pesa zangu sasa zimekua kero' hii ya 'sura yangu sasa imekua kero'nawaachia hao wanaokugombania
 
Back
Top Bottom