Wengi wanasema tabia.
Lakini mm nipo tofauti uzuri wa mwanamke kwangu ni wowowo tu[/QUOTE
duh!
Unywele Aisee...Hasa Ule Wa Kule Kwa Mtogole!
Aisee em wasimulie hadith za ukweli wajameni.....taap taap 100%Yaani mie huwa najisikia kutapika nikinusa harufa ya nywele zilizopakwa yale madawa. Hata kama mnaenda ku - do ile harufu inamshusha jogoo kabisa. Pia niliwahi kusikia eti wakipaka hayo madawa maji hayaruhusiwi kugusa kichwani sasa si uchafu huo huenda ndo unasababisha ile harufu kaaaliiii kama nanihiiiiiii vile
watu na ulimbukeni wao tu ulichonacho ndicho chako ka
Hahahahahahaaaaaa uuuuuwiiii jamani embu hamia kwenye jokes bana tujue moja... daa.. nakubaliana nawe 100%Natural ni safi sana, Mungu aliyekuumba sio mjinga, utakuta mtu kajiremba utadhani mti wa Christmas!!!