Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Habari wana JF.Je uzuri wa mwanamke ni makalio au maziwa(matiti).?.

Swali hili kwangu ni gumu kidogo au naweza kusema lina utata au ukakasi katika kulijibu. Makalio au matiti ni sehemu ya vikolombwezo vingi alivyopewa mwanamke ili awe hivyo kijinsia na kuleta mvuto hasa wa kimatamanio ya kimwili kwa jinsia ya kiume bila kuacha sura na sauti nyororo kwa wale(wanawake) waliojaariwa kuwa na vitu hivyo. Sasa kimaadili sijui hayo makalio na matiti ndiyo yanoyofaa tu? Hapana, sidhani kama itakuwa ni vyema na haki. Kwa sababu, kimaumbile wanawake ambao ndiyo mama zetu wametofautiana.Vivyo hivyo kwa wanaume. Daima kinachotakiwa ni tabia njema na nzuri. Kuna haja ya kuwauliza wazazi wetu hasa walio na busara juu ya mambo kama hayo kabla ya kutenda. Ashakumu si matusi, makalio na matiti ni vivutio tu vya nje vya mwanamke kwa mwanaume. TAKE CARE!
 
Mwanamke aitwe mzuri kwanza awe na sura nzuri ya kuvutia,pili awe na shape nzuri(wezere+mahaga)+maziwa ya wastani.
 
 
Last edited by a moderator:
kwanza tujadili maana ya maana ya UZURI ndio tutajuwa uzuri wake hasa ni upi
 
Ni sehemu gani ya mwili wa binadamu inaitwa ROHO? Au ulitaka kusema MOYO?

Jamaa yangu jina lako tu linaniwia kutambua ni mbantu au? ROHO sio MOYO unaoweza kuushika ukifa moyo utaukuta nashindwa kukutafsiria kuwa na ROHO kwa mwanamke wako (labda tafsiri neno una roho ya uchoyo (uroho) ni kitu ambacho huondoka ukifa sasa kusema uwe na ROHO ya imani kwa mwanamke wako ni kuongeza uaminifu na kujua kuwa ni kiumbe kilicho karibu yangu kunilindia uhai hata nikiwa nimelala usingizini, kwani na yeye ana moyo wa nyama kwani km hana ROHO anaweza kukuwekea sumu au kukufunika na mto ukafia mbali na MOYO wako
Nilikimbia ualimu kwa sababu ya majina ya wanafunzi km nyie
 
Mdau swali lako lina mapungufu sana!
Ulipaswa useme kipi kifanya mwanamke awe na mvuto zaidi kati ya MATITI NA MAKALIO,,,!
Binafsi katika hivyo vitu viwili sijaona kizuri ila kwangu mimi uzuri wa mwanamke ni Usafi na uwezo wake kitandani,,,!
 
Mdau swali lako lina mapungufu sana!
Ulipaswa useme kipi kifanya mwanamke awe na mvuto zaidi kati ya MATITI NA MAKALIO,,,!
Binafsi katika hivyo vitu viwili sijaona kizuri ila kwangu mimi uzuri wa mwanamke ni Usafi na uwezo wake kitandani,,,!

asante mkuu nimekupata.
 
Unywele Aisee...Hasa Ule Wa Kule Kwa Mtogole!
 
Back
Top Bottom