Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

wanaume wengi wanapenda kupitisha mikono kwenye nywele laini ndo maana tunaziweka dawa, BISHA?
 
wanawake wakijiremba mnasema, wasipojiremba mnasema washamba wanakaa kama hausigeli. kwa ufupi wanaume hamjui hata mnachokitaka! unakuta mwanaume ana wanawake wake wawili, mmoja anajiremba sana mmoja yuko natural sasa hapo nashindwa kuelewa taste yake ni ipi, wa kujiremba ama wa natural!
 
Ndugu zangu, wapenzi wa jukwaa hili,

Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujilemba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!

Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojilemba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenzi inavyopungua.

Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.

Sijui ni ugonjwa au ni jambo ambalo hata wanaume wenzangu huwa linawakumba?

Tafadhali karibuni kwa mawazo.

lazima kila mwanaume ana kipaumbele chake juu ya uzuri wa mwanamke. Mimi ni tabia, upendo, uaminifu. Maana vigezo vya maumbo, ni suala la uumbaji
 
hahahahahahah nimekuelewa xana tausi huo ndo ukweli otho pia wanawake wanaozidisha wafanye kujirekebisha
 
Mapenzi feki,kucha feki,nywele feki,hakuna natural siku hizi kila kitu feki,feki....................
 
Ndugu zangu, wapenzi wa jukwaa hili,

Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujilemba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!

Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojilemba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenzi inavyopungua.

Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.

Sijui ni ugonjwa au ni jambo ambalo hata wanaume wenzangu huwa linawakumba?

Tafadhali karibuni kwa mawazo.

Binafsi sidhani ni vibaya kama mwanamke atajiremba but isiwe too much,remember anything too much is harmful.Mwanamke anaweza akajiweka smart,nadhifu na akajiremba kawaida tu bila kupoteza origin ya skin colour yake na vingine vingi vikabaki kuwa natural.Kibaya tu ni pale inapokuwa too much yaani kila kitu ni cha kichina kuanzia makalio makubwa ya kichina,hipsi za kichina,nywele za kichina etc. Jirembe but ubaki kuwa naturally african woman.
 
Du hii maada nzito!All in all kuna taste tofauti kwa men an women on this matter!However most men like CLEAN NATURAL LOOK!kama wanawake wakiweza hili most of them wataolewa if its by the way is there wish!Lakini artificial look ina maswali mengi kwa mwanaume kujiuliza kabla ya kumuoa huyo mwanamke!Mos of the time Artificial look goes with artificial behavior For me oooh, I seriously prefer an INDIGENOUS NATURAL look o f a girl!When she is naturally beautiful it drives me a lot!ACTUALLY ITS A BIG SECRET OF MY LOVE LIFE!
 
heheheheheh aluuu!
One man's meat is another man's fish..sorry poison.
Mtoa mada, we komaa na kuku wa kienyeji tu maana ndio saizi yako.Hao wengine huwawezi.

Baada ya utangulizi ngoja sasa tuwekane sawa:

1. Urembo kwa mwanamke inategemea naye anaelewa nini kuhusu urembo.Wengine hawana aah wala beeh kuhusu urembo na ndio maana hujikandika vipodozi na kukaa na minywele miezi bila kuosha! Nywele za bandia za kushonea za quality nzuri zenye kuoesheka mara kwa mara kama nywele asili ni bei mbaya.Kuna wenye kupenda urembo lakini mambo ya fedha yanagomba.

2. Urembo unaendana na mtu na kwa kipimo, kutegemeana na mtu mahali alipo, au anapokwenda,kazi afanyayo nk.Kazi kwenu kina baba/kaka kuwapa wake/marafiki wenu wa kike support kifedha na ushauri ili waendane na mnavyotaka au kutamani.Huwezi kulalamika tu bila kutafuta suluhu.

3.Wanaume kwa kiasi kikubwa mnawasukuma wanawake kwenda mbali na hata kufanya mambo yenye kuwaletea madhara ili mradi tu mfurahie. Hebu acheni kukimbizia wanawake warembo muone kama wanawake watahangaika hivyo.Mwanaume mwenye mwanamke "natural" hufurahia kupunguza matumizi nyumbani lakini huhangaika sana kuipendezesha nyumba ndogo, Mwisho wa siku mwanamke asilia nyumbani hulaumiwa kwa kujiachia! Mnadhani wanawake wanafurahia kuketi masaa 6 kusukwa au kufanyiwa waxing na mambo mengine yenye kuleta maumivu ya kutisha? ACHENI HIZO WANAUME!

Mmmh! mtu asikudanganye natural wana raha ya kipekee. mimi kwa upande wangu napenda sana na naenjoy vibaya ninapokuwa na mwanamke ambaye yuko natural alafu msafi huwa safari inakuwa ndefu sana na ya raha zaidi.
 
Ndugu zangu, wapenzi wa jukwaa hili,

Leo naleta hoja nzito kidogo. Najua baadhi ya akina dada watakwazika. Kwa hiyo, naomba mnisamehe.

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujilemba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za kuongeza makalio na maziwa. Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika nywele kama wafanyavyo wanawake wa kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!

Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutia wanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality hiyo. Kadri mwanamke anavyojilemba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenzi inavyopungua.

Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.

Sijui ni ugonjwa au ni jambo ambalo hata wanaume wenzangu huwa linawakumba?

Tafadhali karibuni kwa mawazo.

Unamaanisha unalala na wanawake wangapi kwa siku?
Ukome hiyo tabia yako mbaya!
 
umeuliza swali " uzuri wa mwanamke uko wapi?" uzuri wa mwanamke uko katikati ya miguu yake. full stop
 
natural is good huna ugonjwa fuata mwanamke wa hulka yako. kwa sababu kuna mwngine mwanamke asipojiremba akafanana na kinyago hafurahi
 
Naona hayo yote ni maangaiko. Mm binafsi sichagui. Najali sana katikati ya miguu. Kwa hiyo sampuli zote nimeisha pitia.
 
Back
Top Bottom