malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,323
- 529
Teh..teh...teh...teh...tabia njema bila kusahau usafiri wa kunitosha mm mwenyewe pamoja na paja la uwakika.
Wote ni wazuri ndio maana wanaolewa na wanaishi na wanaume, unajua mpaka umkwee ni lazima kuna sifa umeiona sasa ni yupi hajawahi kupitiwa mpaka azeeke?
mwisho MWANAMKE UZURI WAKE UKO KATIKA ROHO YAKO, KWA JINSI ANAVYOKUJALI NA WW KUMJALI, ukiambiwa ni nani Mrembo hapa duniani ni MKEO kwani anajua unakula nini, umeliibia Kampuni gani ukatajirika! uanbamizwa na wenzako yaani yopte hayo anakufichia unataka tena mwenye liwowowq jamaa yangu SIRI yote kesho hadaharani
Makwapani
uzuri wa mwanamke tabia mkuu.
asante nimekupata mkuu.
Awe bikra na macho kama vikombe!,