Pole ukioa hiyo imekula kwako angalia usije pata shurba ungali kijana mdogo shauri yako.
Shurba ipi tena.
Pole ukioa hiyo imekula kwako angalia usije pata shurba ungali kijana mdogo shauri yako.
Inategemea unataka kuoa au kuchezea!kama wa kuoa ni tabia, wakupiga tu mara moja moja kuna vitu vingi sana vya kuangalia binafsi napenda sana wenye bodi kubwa na wanao vaa shanga.

Masaburi
vampireuzuri wa mwanamke ni kufuga kucha ndefu zinazomshinda kusafisha,kuvaa mawigi hadi yanuke,kujichubua afanane na mzungu,kua na nyodo,kujinunisha,kupaka rangi tofauti mdomoni na machoni,kuvaa kimin chenye mpasuo,kutooga bali kunawa uso,miguu na mikono,kuwa na lugha chafu,kunuka kikwapa,kutonyoa,kujishaua,kujifanya matawi ya juu wakati yeye matawi ya chini,kushinda club analewa,nk.hizi ni baadhi ya sifa mbaya.mia

Tabia,narudia tena tabia.
uzuri wa mwanamke ni kufuga kucha ndefu zinazomshinda kusafisha,kuvaa mawigi hadi yanuke,kujichubua afanane na mzungu,kua na nyodo,kujinunisha,kupaka rangi tofauti mdomoni na machoni,kuvaa kimin chenye mpasuo,kutooga bali kunawa uso,miguu na mikono,kuwa na lugha chafu,kunuka kikwapa,kutonyoa,kujishaua,kujifanya matawi ya juu wakati yeye matawi ya chini,kushinda club analewa,nk.hizi ni baadhi ya sifa mbaya.mia
Uzuri wa mwanamke inategemea na kigezo cha mtu,kwa harakaharaka wengi huwa tunaangalia sura,umbile,mavazi,na mwonekano mwingine wa nje,wengine huangalia mashine(K),NK,ILA UZURI WAMWANAMKE NI TAABIA YAKE

Siri yangu na aijuaye ni yeye pekeee!!!

Pia usichanganye UZURI na UREMBO!! wadada wengi siku hizi ni warembo tu!!!
Tobaaa! Na masingle ladies je?
Hawanuni maana siku zote kwenye mawazo yake anaamini atakuwa na mwanaume bomba (kama ndio kinyume cha kimeo)...
UKIONA MWANAMKE KANUNA KILA SIKU UJUE, ANA MUME KIMEO. imedhibitishwa na shirika la viwango vya ndoa