Dr. ChiChi nimependa analysis yako bhanaaa, wewe umeenda mbali na kurelate na zile roles/functions afanyazo mwanamke ndani ya nyumba. MWANAMKE ATAPENDWA NA MWANAMME WAKE ENDAPO ATATAMBUA NIN MUMEWE HUPENDA NA KUFANYA VILIVYO. PIA MWANAMKE ANAPASWA KUTAMBUA MADHAIFU YA MMEWE NA KUWA SEHEMU YA USURUHISHO WA MAPUNGUFU HAYO. Akifanya hivyo ni dhahili mme wake atampenda na atakuwa mzuri machoni mwa watu!Its simple,uzuri wake upo moyoni mwake.mwanamke anayejiheshimu,mwenye upendo,mchapakazi,mnyenyekevu,challenging kimaendeleo ndiye ideal......alafu miye nina kaugonjwa kakutotunza hela kwahiyo lazima ajue jinsi ya kuipangilia hela yangu na yake..shape hata pundamilia anayo kwahiyo haijalishi physically yukoje
Hapana, Ideal yaweza kuwa the same bt explaination tofauti, hebu tilia mkazo yako bwana! Ni kweli vigezo vya kuclassify hutofautiana!umemaliza yooote niliyotaka kusema. uzuri wa mwanamke ni kwa mujibu wa mwanamume na vigezo vyake wengine hujali sura kwa vigezo vyao wanajua hii ni nzuri , wengine wana aina ya shape ambazo huzipenda, wengine aina fulani ya tabia n.k. n.k. hakuna vigezo vinavyofanana ili kumtaja mwanamke kuwa ni mzuri
Mmmmh uzuri wa mwanamke ni busara zakeNatumai hata wewe umeisha jiuliza hili swali, sasa kwa pamoja tujadili, na tuafikiane juu ya uzuri wa mwanamke. Swali hapa ni: "je uzuri wa mwanamke upo wap? Ni upi?" je ni mbele? Nyuma? Juu? Chin? Katikati? Ndani? Nje? Or? Kifupi binafsi cjaelewa. ukitaka jibu kwa ufasaha hebu make ur imaginatios kwa mke/mpenz wako, hususani penzi lako kwake!
Beauty Lies in the Eyes of a Beer Holder....., Seriously though...
uzuri wa mwanamke its a package (ni mambo mengi, depends na your priority)..
You don't love a woman because she is beautiful, but she is beautiful because you love her
Je unadhani kwa haya MAPENZI.COM yetu kuna kitu kwetu kujifunza? Tutaanzia wap?Kama tungekuwa tunataka kujifunza,tungejifunza kwenye mahusiano yetu yaliyovunjika na ndoa zilizokufu na sababu zake!Tungebadilika sana kwenye suala la kuwa na mwenza!
Vivimama umeadimika duh! Vp umpendae hajambo?ni kweli unaempenda ndo unamwona mzuri. ila wengine wanamwona huyo huyo mbaya au wa kawaida sanaaaamapenzi yangu
Hahahahahaa! Umemchungulia nin? Poa mkuu!Alivyo ndo uzuri wake huo
halafu gagu usijifanye unapinga ukweli hapa, unachokipenda wewe kwa mtu wengine wanaweza wasikipende na unachokichukia wengine wengine wanakipenda hvyo kumuona yule mtu mzuri. Kama hujaelewa uje tuition mpwapwa.Husninyo unaniangusha bhana, utakubalije mambo kirahis? Hebu fafanua kwa nin umekubaliana na hoja ya Voice of Reason?
Beauty is the eyes of the beholder.
Ubora wa mwanaadam awe mwanamke au mwanamme upo kwenye ucha mungu wake.
So unataka tuamini kupenda ni relative issue? Ok! hata kama kuna tofauti kati ya huko kupenda ukweli unapaki pale pale kuwa kuna vi'element fulani vya uzuri ambavyo watu hupenda, hivi vi'element hufanana na hujenga kitu tuitacho "uzuri", sasa hoja hapa ni nin uzuri wa mwanamke? Mwanamke mzuri utamjuaje?halafu gagu usijifanye unapinga ukweli hapa, unachokipenda wewe kwa mtu wengine wanaweza wasikipende na unachokichukia wengine wengine wanakipenda hvyo kumuona yule mtu mzuri. Kama hujaelewa uje tuition mpwapwa.
Mmh wahida? Inamaana wanawake wenzio wazuri huwajui? Na kwa nin huwanote km wazuri?ni kazi sasa,, uzuri wetu sisi tuwaulize nyinyi ? bcz nyinyi wanaume munakua munaangalia sana sura na maumbo then yaka wazuru ,hahaha,, sasa mtoa mada ,tupe jibu rasmiiii...:A S 114: