deecarter
Member
- Aug 24, 2019
- 23
- 64
Sikuwahi kufahamu kuwa Nairobi ni jiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa Nairobi ni kamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe Nairobi inaweza kulingana na Kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili.