Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

deecarter

deecarter

Member
Joined
Aug 24, 2019
Messages
10
Points
75
deecarter

deecarter

Member
Joined Aug 24, 2019
10 75
Sikuwahi kufahamu kuwa Nairobi ni jiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa Nairobi ni kamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe Nairobi inaweza kulingana na Kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili.
 
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
2,117
Points
2,000
monopoly inc

monopoly inc

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
2,117 2,000
Sikuwahi kufahamu kuwa nairobi nijiji kubwa kiasi hiko nilijua kuwa nairobi nikamji kadogo tu ambako majengo marefu yamerundikana kumbe nairobi inaweza kulingana na kariakoo au zipishane kidogo kwa ukubwa wa eneo lililojengeka dah hongera sana wakenya kwa hili
yaani Nairobi ni kutoka mnazi mmoja mpaka Gerezani
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,750
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,750 2,000
Sijaelewa, unamaanisha Nairobi CBD ama Nairobi yote kwa ujumla?
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,750
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,750 2,000
Sasa mtu anaanzisha uzi bila maelezo kamili utadhani yupo mawindoni, ndani kabisa porini. Anamaanisha Nairobi CBD, Nairobi County ama jiji lenyewe kwa ujumla? Jiji la Nairobi sasa hivi ni Metropolis. Nairobi Metropolis imekua hadi ikavuka mipaka ya hapo awali, ya gatuzi la Nairobi, yaani ule mkoa wa zamani. Nairobi Metropolis ni 32,000 square kilometres.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
868
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
868 1,000

Hivi nyie wakenya vichwa vyenu viko sawa!? Hivi unaelewa hata maana ya 32,000 square kilometres!? Unaweza kuleta reference ya hiki ulichoandika!? Unajua 32,000 square km ni zaidi ta nchi ya Rwanda, ni zaidi Belgium.

Tukisema nyie wakenya ni wajinga msilie lie
img_20190910_202823_693-jpg.1203839
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
8,750
Points
2,000
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
8,750 2,000
Hivi nyie wakenya vichwa vyenu viko sawa!? Hivi unaelewa hata maana ya 32,000 square kilometres!? Unaweza kuleta reference ya hiki ulichoandika!? Unajua 32,000 square km ni zaidi ta nchi ya Rwanda, ni zaidi Belgium.

Tukisema nyie wakenya ni wajinga msilie lie
View attachment 1203839
Kabla ya kuanza ubishi wa kipuuzi ungejielimisha kuhusu Metropolis, metropolitan na vitu kama hivyo. Sina la ziada.
 
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
868
Points
1,000
Venus Star

Venus Star

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
868 1,000
Anaongelea sq km buda, ya kwako ume exaggerate
Huyu jamaa sijui anasoma alichoandika. Total area ya kenya yote ni 580,367
Halafu anatuambia Nairobi ni 32,000.
Ukipiga hesabu maana yake ni
32,000/580367x100 unapata 5.5%.
Inamaana Nairobi ni 5.5% ya total area ya nchi ya kenya.

Huu upuuzi hatuwezi kuuvumilia.
 
Forum statistics

Threads 1,336,636
Members 512,670
Posts 32,546,221
Top