Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Huyu jamaa sijui anasoma alichoandika. Total area ya kenya yote ni 580,367
Halafu anatuambia Nairobi ni 32,000.
Ukipiga hesabu maana yake ni
32,000/580367x100 unapata 5.5%.
Inamaana Nairobi ni 5.5% ya total area ya nchi ya kenya.

Huu upuuzi hatuwezi kuuvumilia.

Yaan hesabu ni janga la dunia yaan hata hesabu ndogo kama hizo hajui inasikitishana sana
 
Sasa mtu anaanzisha uzi bila maelezo kamili utadhani yupo mawindoni, ndani kabisa porini. Anamaanisha Nairobi CBD, Nairobi County ama jiji lenyewe kwa ujumla? Jiji la Nairobi sasa hivi ni Metropolis. Nairobi Metropolis imekua hadi ikavuka mipaka ya hapo awali, ya gatuzi la Nairobi, yaani ule mkoa wa zamani. Nairobi Metropolis ni 32,000 square kilometres.
map-of-the-nairobi-metropolitan-region-un-habitat-2010-168.jpg

Duu hesabu ni common disease hivi unajua 32 km square inachukuwa ukubwa upi ? au unaropoka
 
Huyu jamaa sijui anasoma alichoandika. Total area ya kenya yote ni 580,367
Halafu anatuambia Nairobi ni 32,000.
Ukipiga hesabu maana yake ni
32,000/580367x100 unapata 5.5%.
Inamaana Nairobi ni 5.5% ya total area ya nchi ya kenya.

Huu upuuzi hatuwezi kuuvumilia.
umeambiwa Nairobi Metro. inaonekana hata shuleni ulikuwa mweupe kichwani.
Nairobi Metro area is 32,000sqkm
 
tatizo ni kuwa dar is slum kama jiji bado halijajengwa vya kutosha. sijawai sikia dar is slum metro. papo hapo ndani ya jiji la dar is slum bado utakuta misitu na mashamba kama kijijini vile. watu wanaishi kana kwamba bado wako mashambani wanalima miwa na mihogo.
 
Kila mtu anajua kenya ni headquarter za slums Africa
Slum kila kona kila county.

tatizo ni kuwa dar is slum kama jiji bado halijajengwa vya kutosha. sijawai sikia dar is slum metro. papo hapo ndani ya jiji la dar is slum bado utakuta misitu na mashamba kama kijijini vile. watu wanaishi kana kwamba bado wako mashambani wanalima miwa na mihogo.
 
AreaCountyArea (km2)Population
Census 2017
Cities/Towns/Municipalities in the Counties
Core NairobiNairobi County694.9
4,000,000​
Nairobi
Northern MetroKiambu County2,449.2
1,623,282​
Kiambu, Thika, Limuru, Ruiru, Karuri, Kikuyu, Ruaka, Kahawa and Githunguri
North Eastern MetroMurang'a County2,325.8
942,581​
Gatanga, Kandara, Kenol/Kabati, Murang'a
Southern MetroKajiado County21,292.7
687,312​
Kajiado, Olkejuado, Bissil, Ngong, Kitengela, Kiserian, Ongata Rongai
Eastern MetroMachakos County5,952.9
1,098,584​
Kangundo-Tala, Machakos, Athi River
TotalsNairobi Metro32,715.5
7,490,128​
 
Kabla ya kuanza ubishi wa kipuuzi ungejielimisha kuhusu Metropolis, metropolitan na vitu kama hivyo. Sina la ziada.
Wai Uhuru park haraka sana !!! Nimara ngapi tumewaambia kuvutia bangi chooni ni hatari cheki sasa bado mnaendelea kuvutia bangi kibera !! The yujiii toiletiii
 
Nadhani alimaanisha 3,200 sq. km. Shida ya wabongo kosa la typing error mtaligeuza kuwa ndicho kinachojadiliwa.
Hiyo ya kuongeza mipaka hata sisi tunaweza tena tukafanya dar es salaam kubwa 50000 km sq feki thing ukweli ni kuwa Nairobi ni ndogo unajulikana dunia nzima ndiomaana wote wageni wanao kuja mijiyete wanaitaja Dar kuwa ni jiji kubwa wala siyo Nairobi
 
Wow , this is your complete ignorance showing kuonyesha kweli wewe hauna elimu.
 
Back
Top Bottom