Uzuri na ukubwa wa Jiji la Nairobi

Nasikia chapo ni chakula cha anasa Kenya !!? Mkenya akinunua chapo anapitanayo mtaani huku anakula na soda baridi ili aonekane tajiri
Wabongo sio watu duh.
Kweli wakenya na chapo hatari sana weka mbali na Watoto
Mbongo ukitaka azungumze english mnunulie bia ila mkenya mnunulie chapo hapo Simombo njia nzima awa jamaa itakuwa wakilala wanaota chapo
 
C
Chapo ilikuwa chakula cha anasa zamani. Siku hizi ni chakula cha kawaida. Ugali tena imepanda bei kushinda chapati.
Wakenya Kwa kujikataa mlivyo!!! Nakumbuka mlikuwa mnatuponda wabongo Kwa kula mahindi choma na pilipili pamoja na ndimu .....sasa wode Maya alipokuja bongo akashanga kuona watz tunavyo kula mahindi sasa cha kushangaza wakenya wakaona wivu na kuanza kutoa comment kuwa nao wanakula mahindi na pilipili na ndimu kama Tanzania mwenyewe akawaponda akawaambia kuwa kabla ya kuja dar alikuwa Nairobi akuona mahindi yenye kuliwa kama tz
 
Nairobi haina haja ya kupanda usafiri ni kutembea tu na mguu unaimaliza yote chap
Someone can walk from Kenyatta University to Oleloula Forest in Karen 40 kilometers away?? (if you follow a straight line, which is not possible.
You can walk from the furthest part of Dagoretti to the furthest part of Ruai????
Are you dense man??
 
Hivi nyie wakenya vichwa vyenu viko sawa!? Hivi unaelewa hata maana ya 32,000 square kilometres!? Unaweza kuleta reference ya hiki ulichoandika!? Unajua 32,000 square km ni zaidi ta nchi ya Rwanda, ni zaidi Belgium.

Tukisema nyie wakenya ni wajinga msilie lie
View attachment 1203839
There is a difference between the county of Nairobi and the Nairobi metropolis.
The same way New York city is just 5 boroughs but the New York metro is spread across two states and more than 10 towns and surburbs
 
There is a difference between the county of Nairobi and the Nairobi metropolis.
The same way New York city is just 5 boroughs but the New York metro is spread across two states and more than 10 towns and surburbs
Here we are talking about nairobi county,nairobi metro is something uknown
 
Nimekaa Nairobi 2yrs sidhani kama kuna tv ama radio yoyote ya Tanzania inasikilizwa Kenya.Ni EA Radio tu niliisikia. Kenya wana Vituo vya Television bora sana na ukiangalia taarifa zao tu za habari hutatamani kuangalia zetu.
True.
 
Back
Top Bottom