Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Tafiti za mwendokasi hizi... Sasa Miguu miembamba na Kei uhusiano wake uko wapi??


Ladha ya mapenzi inahusianaje na miguu miembamba?? Napata ukakasi kidogo hapa wadau...

Kwa hiyo mtoa mada kwako wewe ukiwa na bebe mwenye Guu la bia ndio unafaidi mapenzi/uhondo tofauti ukiwa na Demu mwenye Guu la soda???
Hahahahahahah
Kamanda una dem anamiguu fagio nini mbona umetoa ya moyoni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Talking from experience...
Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba.

Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi.

Sio wote ila ni ukweli wadada wengi wenye uwembamba wa miguu they're not sweet at all.

On my side, when I was a teenager sijawahi date na mdada mpana akanichosha kimapenzi...
And that is what I still believe.
Ngiba haijawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni wakati wa mimi pia kuonja mwenye miguu fito, nimechoka kusikia story zao tu
 
Back
Top Bottom