Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Rabboni

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
1,085
1,564
Talking from experience...
Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba.

Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi.

Sio wote ila ni ukweli wadada wengi wenye uwembamba wa miguu they're not sweet at all.

On my side, when I was a teenager sijawahi date na mdada mpana akanichosha kimapenzi...
And that is what I still believe.
 
Whatever she is, her behaviour matter's more.

Definitely this should be the most important and critical aspect for a woman to be considered a wife material. Mimi am married about 20 years now. Ila huwa nawambia boys kwamba, when you marry, unakuwa na ile idea ya beauty kwa maana ya mrembo aliye jazia sijui behind kakaaje au whatever you think defines the beauty of whom you want to marry. Lakini maisha yanavoendelea unakuja kugundua kuwa hizo qualities utazizoea zitakuwa za kawaida kwako. Kitakachoendelea kuwaweka pamoja na kupendana ni behaviour na the way mnaheshimiana pamoja na heshima ndani ya jamii. Mfano, I have a friend ambaye alioa a lady alie mrembo sana lakini huyo mrembo ni mboga ya vijana mtaani. jamaa wala hamfurahii maana anadharaulika mtaani and he is struggling for devorse. Ingawa namwambia kuwa you have a beautiful wife mvumilie lakini hawez kubali kuvumilia kuibiwa sbb ya kuonekana kaoa mwanamke mzuri. Kwahiyo behaviour ni jambo kubwa sana kwenye marriage kuliko beautiy unapoangalia sifa za kuoa maana ndo sifa kubwa inayodumu milele
 
Waambie hao
 
Back
Top Bottom