- Thread starter
- #41
Ha ha ha ha ha....Mkuu naona unapingana na kauli hii" UTAMU WA PIPI MATE YAKO" au sio???
Ha ha ha ha ha....Mkuu naona unapingana na kauli hii" UTAMU WA PIPI MATE YAKO" au sio???
Wewee no not behaviorWhatever she is, her behaviour matter's more[emoji26][emoji26]
Are you a gal or boy?Wewee no not behavior
The thing that matters most ni booty tabia tutarekebishana
Whatever she is, her behaviour matter's more.
Definitely this should be the most important and critical aspect for a woman to be considered a wife material. Mimi am married about 20 years now. Ila huwa nawambia boys kwamba, when you marry, unakuwa na ile idea ya beauty kwa maana ya mrembo aliye jazia sijui behind kakaaje au whatever you think defines the beauty of whom you want to marry. Lakini maisha yanavoendelea unakuja kugundua kuwa hizo qualities utazizoea zitakuwa za kawaida kwako. Kitakachoendelea kuwaweka pamoja na kupendana ni behaviour na the way mnaheshimiana pamoja na heshima ndani ya jamii. Mfano, I have a friend ambaye alioa a lady alie mrembo sana lakini huyo mrembo ni mboga ya vijana mtaani. jamaa wala hamfurahii maana anadharaulika mtaani and he is struggling for devorse. Ingawa namwambia kuwa you have a beautiful wife mvumilie lakini hawez kubali kuvumilia kuibiwa sbb ya kuonekana kaoa mwanamke mzuri. Kwahiyo behaviour ni jambo kubwa sana kwenye marriage kuliko beautiy unapoangalia sifa za kuoa maana ndo sifa kubwa inayodumu milele
Msiokuwa na booty mnahahaWewee no not behavior
The thing that matters most ni booty tabia tutarekebishana
hahaha umenichekesha mkuu... ila kuna ukweli fulani ndani yake, na niwabishi balaa... na wengi utakuta ndo hawajaolewa...siwazarau coz hata wao huwa kuna vitu wanaviangalia ila mimi kwakwel mi MIGUU ADICTED
Gal........ Kwanini umeuliza ivyo mkuuAre you a gal or boy?
Mchina yupooo pesa yako tuMsiokuwa na booty mnahaha
Talking from experience...
Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba.
Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi.
Sio wote ila ni ukweli wadada wengi wenye uwembamba wa miguu they're not sweet at all.
On my side, when I was a teenager sijawahi date na mdada mpana akanichosha kimapenzi...
And that is what I still believe.
Ok... Nilitaka Kujua tuu. [emoji4][emoji4]Gal........ Kwanini umeuliza ivyo mkuu
Ha ha ha haAsiekua na nyamanyama uyo hafai.
nilishakua na allergy na wembamba mkuuHii ilikuwa kabla hujaoa....
sasa vipi baada ya kuoa...umempata mwembamba tena au mnene..
Pole sana princessnaona unatudhihaki alasiri yote hii
Asante kwa nyongezaumesahau hili mkuu... huwa wana mapenzi ya kweli.. hivyo akitendwa anaumia kuliko unavyofikiria ndo maana rahisi kuchukua maamuzi....!!!