Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Ngoja nikawaulize walio nionja kama mimi nimtamu maana hv vimiguu vyangu utadhani spoku ya baiskeli
bibie nipo muonjaji hapa usipate tabu ili nikuthibitishie[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Waambie hao
Uko sahihi mkuu, Tabia ya mke ni kigezo no1, na kama anatabia nzuri hata kama sura sio nzuri, utafurahia tendo la ndoa kwani tendo la ndoa ni hisia, na mwanamke mwenye tabia nzuri lazima aolewe, hivyo sio rahisi kumpata
 
umesahau hili mkuu... huwa wana mapenzi ya kweli.. hivyo akitendwa anaumia kuliko unavyofikiria ndo maana rahisi kuchukua maamuzi....!!!
Hahahhahaha eti eeh, sema huenda kweli maana soko lao sio la uhakika!
 
Wema sepetu ana miguu hata fimbo ina nyama lakini mbona na udaku wote wa tz hakuna aliyewahi sema wema hana mvuto wa k huko ... Kwenda ... Team spoku forever
 
Talking from experience...
Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba.

Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi.

Sio wote ila ni ukweli wadada wengi wenye uwembamba wa miguu they're not sweet at all.

On my side, when I was a teenager sijawahi date na mdada mpana akanichosha kimapenzi...
And that is what I still believe.
Wepesi sana kudaka mimba. Ukigusa tu kitu kimo, mayai yapo mlangoni kabisa.
 
upload_2017-7-26_18-38-27.jpeg
upload_2017-7-26_18-40-7.jpeg
upload_2017-7-26_18-44-0.jpeg
 
mtoa mada wanamshambulia tu ila kuna kauukweli humo, kuna baadhi ya tabia za binadamu zina athiriwa na miundo ya miili yao...

aidha tunashukuru kwa experience sasa itabidi kwenye machaguz yetu tuweke vigezo vya miguu nk..

ushauri tukimaliza kuchunguza negative perspective zinazojumlisha miundo ya mwili itabidi tugeukie kwenye postive perspectives ili tuone ipi imezidi mfano kama mwenye milingoti atakuwa ana faida ya ku make au kutokuchepuka tutapima tujue ni yupi zaidi..

wahenga walisema .... ndoa ndoano
 
Back
Top Bottom