Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Uzoefu wangu juu ya wanawake wenye miguu miembamba

Talking from experience...
Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba.

Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi.

Sio wote ila ni ukweli wadada wengi wenye uwembamba wa miguu they're not sweet at all.

On my side, when I was a teenager sijawahi date na mdada mpana akanichosha kimapenzi...
And that is what I still believe.
kuna uhusiano mdog kati ya miguu na tabia. Ila kuna uhusiano mkubwa kati ya malezi, historia ya mahusiano na mahusiano mapya
 
Ngoja nikawaulize walio nionja kama mimi nimtamu maana hv vimiguu vyangu utadhani spoku ya baiskeli

Mwanamke guu+tako sio wengine viguu kama vijiti au chaga. Looooooh. Wembamba pia wana domo saaana.
 
Aisee nilala na msichana mwenye miguu minene,
Basi alivyolala, nikashtuka guu la mbavu (puuuuh) alafu nikazima,


Nilishtuka nimefunikwa shuka nyeupe alafu imeandikwa "MUHIMBILI".
 
Talking from experience...
Kabla sijaoa nilipata uzoefu kidogo juu ya wanawake ambao miguu yao ni miembamba.

Most of them wako harsh sana haswa kwenye swala la mapenzi, they are very fast to run into conclusion na bado unaweza usimfurahie sana kwenye hayo mapenzi.

Sio wote ila ni ukweli wadada wengi wenye uwembamba wa miguu they're not sweet at all.

On my side, when I was a teenager sijawahi date na mdada mpana akanichosha kimapenzi...
And that is what I still believe.
Whatever she is, the behavior matter a lot.
 
Thread ingesindikizwa na picha ingependeza saana mkuu
 
Back
Top Bottom