Jinsi mikao ya mtu inavyosaidia kujua tabia yake

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
10,481
Reaction score
23,299
Wakuu hamjambo? Leo nataka niongelee juu ya mikao ya mtu na maana yake na vile inavyoweza kusaidia kujua tabia yake mnapokuwa katika maongezi, Kwa kutazama picha hapo chini kama nilivyoanisha.

Picha A 🙁IN OUT LEGS/MIGUU NDANI NJE)
katika mkao huu, Mara nyingi wanawake ndo hupendelea kutumia na Mara nyingi wakiwa wangali chini ya usimamizi wa watu /wazazi wao huwa wanaonywa kuhusu mkao huu kubwa sio mzuri na onaonesha tabia mbaya, kwa hiyo ukimkuta mwanamke kakaa katika mkao huo na wala asijisitukie,au mwanamke yeyote akawa anapenda kukaa mkao huu akiwa na mwanamme ambaye si mpenzi wake basi moja kwa moja jua mwanamke huyu anakupenda ila kaogopa kukuambia kwa hiyo mwanamme hana budi kujiongeza.

PICHA B: MGUU MOJA JUU YA MWINGINE(ONE LEG ON ANOTHER)
au waswahili husema kuandika nne, ukimkuta mtu au ikiwa mnaongea na mtu huku kaandika nne maana yake ni kuwa yuko huru sana au anakuchukulia poa sana katika maongezi yenu, huwezi mkuta mfanyakazi anaongea na boss wake akiwa katika mkao huu.

PICHA C:MIGUU NJE,VISIGINO NDANI(LEGS UOTSIDE,HEELS INSIDE)
Mtu /watu anayependa kukaa katika mkao huu huwa ni watu wenye kupenda kujenga urafiki na wako tayari kujitoa dhamira zao kwa manufaa ya wengine,huwa pia ni watu wenye mioyo mizuri sana na hupenda kutoa zawadi kwa wapendwa wao na ni wavumilivu sana katika mahusiano ya kimapenzi.

PICHA D:KUKUSANYA MIGUU KWA PAMOJA (LEGS TOGETHER).
Watu wanaopenda kukaa mkao huu huwa ni watu ambao si wavumilivu katika hali nyingi na hata kwenye mapenzi lakini huwa ni watu wenye uelewa mpana na huwa wanapenda kuelezea hisia zao mbele za watu bila hofu yoyote

PICHA E: MIGUU ILIYOKUSANYWA NA KUEGEMEZWA UPANDE MMOJA(LEGS JOINED AND STACKED ON THE SIDE)
watu wanaopenda kukaa katika mkao huu huwa ni watu wenye kupenda kuchunguza mambo na Mara nyingi huwa ni wanawake,na ni watu wenye wivu sana kwenye mapenzi na hufuatilia sana mambo yanayowazunguka,watu wanaopenda kukaa katika mkao huu sio wazuri kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi ,

Mchana mwema wapendwa
zithouding.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo picha A, mama yangu aliniambia ukiona mwanamke amekaa ameweka miguu hivyo ujue ni m@l@y@!! niliitikia ila sikutaka kuhoji, siku nyingine nilikua napiga story na Wakili mmoja mtu mzima naye akaniambia hivyohivyo, duuh!!
 
Waafrika tuwe na tabia ya kushukuru vyanzo vya habari. Ni ujumbe mzuri, lakini ukiutafsiri toka mahala fulani, basi mpe sifa mwandishi.

Wakuu hamjambo? Leo nataka niongelee juu ya mikao ya mtu na maana yake na vile inavyoweza kusaidia kujua tabia yake mnapokuwa katika maongezi, Kwa kutazama picha hapo chini kama nilivyoanisha.

Picha A 🙁IN OUT LEGS/MIGUU NDANI NJE)
katika mkao huu, Mara nyingi wanawake ndo hupendelea kutumia na Mara nyingi wakiwa wangali chini ya usimamizi wa watu /wazazi wao huwa wanaonywa kuhusu mkao huu kubwa sio mzuri na onaonesha tabia mbaya, kwa hiyo ukimkuta mwanamke kakaa katika mkao huo na wala asijisitukie,au mwanamke yeyote akawa anapenda kukaa mkao huu akiwa na mwanamme ambaye si mpenzi wake basi moja kwa moja jua mwanamke huyu anakupenda ila kaogopa kukuambia kwa hiyo mwanamme hana budi kujiongeza.

PICHA B: MGUU MOJA JUU YA MWINGINE(ONE LEG ON ANOTHER)
au waswahili husema kuandika nne, ukimkuta mtu au ikiwa mnaongea na mtu huku kaandika nne maana yake ni kuwa yuko huru sana au anakuchukulia poa sana katika maongezi yenu, huwezi mkuta mfanyakazi anaongea na boss wake akiwa katika mkao huu.

PICHA C:MIGUU NJE,VISIGINO NDANI(LEGS UOTSIDE,HEELS INSIDE)
Mtu /watu anayependa kukaa katika mkao huu huwa ni watu wenye kupenda kujenga urafiki na wako tayari kujitoa dhamira zao kwa manufaa ya wengine,huwa pia ni watu wenye mioyo mizuri sana na hupenda kutoa zawadi kwa wapendwa wao na ni wavumilivu sana katika mahusiano ya kimapenzi.

PICHA D:KUKUSANYA MIGUU KWA PAMOJA (LEGS TOGETHER).
Watu wanaopenda kukaa mkao huu huwa ni watu ambao si wavumilivu katika hali nyingi na hata kwenye mapenzi lakini huwa ni watu wenye uelewa mpana na huwa wanapenda kuelezea hisia zao mbele za watu bila hofu yoyote

PICHA E: MIGUU ILIYOKUSANYWA NA KUEGEMEZWA UPANDE MMOJA(LEGS JOINED AND STACKED ON THE SIDE)
watu wanaopenda kukaa katika mkao huu huwa ni watu wenye kupenda kuchunguza mambo na Mara nyingi huwa ni wanawake,na ni watu wenye wivu sana kwenye mapenzi na hufuatilia sana mambo yanayowazunguka,watu wanaopenda kukaa katika mkao huu sio wazuri kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi ,

Mchana mwema wapendwaView attachment 1404837

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli,si kila kitu kitafasiriwe toka mahala fulami,usikariri mkuu,kwani huyo aliyeanzisha yeye alikitoa wapi,? I lent it and started making observations on it

Back
Top Bottom