Uzinzi huongezeka siku za sikukuu

Uzinzi huongezeka siku za sikukuu

Habari wakuu,

Nishashiba pilau, niende moja kwa moja kwenye mada ya Uzinzi hufanyika zaidi siku za sikukuu.

Ndio nasema Sasa kama unabisha nenda nyumba za kulala wageni kama utakuta Kuna chumba wazi.

Yaani watu wanafanya uzinzi Ile mbaya siku za sikukuu wanakula pilau na kula tunda kimasihara.

Kuna watu wanasubiri sikukuu ndio waanze kufanya kufuru la uzinzi.

Ninavyoandika hapa kuna watakaokuwa wanacomment ila wapo gesti wanatafunana kama pilau.

Sikukuu ndio muda wao wa kufanya uzinzi wa kiwango Cha lami yaani, utafikiri hakuna siku nyingine.

Tukumbuke amri ya Mungu isemayo usizini, na tuifanyie kazi.

Hapa Kuna jibaba mkewe kasafiri lipo na kabinti kadogo kadogo.

Pia kuna mke wa mtu yupo huko mtafaruku gesti na kijana.

Vijana ndo wanakulana huko gesti bubu kimasihara masihara...

Heri ya mwaka mpya wote

Donatila
Wana mapepo cc Donatila
 
Sasa wewe unataka uongezeke siku za maafa ya hanang?
 
Back
Top Bottom