Acha kunizeesha shangazi, halafu niko na kitoto kipo 24🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inamaana babu anakula ujana..
Inasikitisha sana, kila mtu na wakati wake...Hapo ndio utaona umuhimu wa kumshukuru Mungu Kwa Pumzi kabla hujapeleka moto
Ndio nasema Sasa kama unabisha nenda nyumba za kulala wageni kama utakuta Kuna chumba wazi.
Ninavyoandika hapa kuna watakaokuwa wanacomment ila wapo gesti wanatafunana kama pilau.
Dk5 tu sina zaidi, baada ya hapo napiga usingizi hadi kesho🤣Kula uzee Kwa Raha zako🤣🤣🤣
Hakika...kuna wimbo flani wa msiba nilisikia verse sisi binadamu hapa duniani ni kama tumekuja kuota Jua tu then tunarudi zetu ndani.....Tukipata muda tuutumie sahihiInasikitisha sana, kila mtu na wakati wake...
Nakujua mzinguaji sana wewe Mtu akifata maoni yako kazi anayo🤣🤣🤣🤣lala unonoDk5 tu sina zaidi, baada ya hapo napiga usingizi hadi kesho🤣
Tena tuutumie muda hapa duniani kwa mema zaidi na si mabaya...Hakika...kuna wimbo flani wa msiba nilisikia verse sisi binadamu hapa duniani ni kama tumekuja kuota Jua tu then tunarudi zetu ndani.....Tukipata muda tuutumie sahihi
Hakika! Mungu atuongoze kwenye njia sahihiTena tuutumie kwa mema zaidi na si mabaya...
Yote yote mkuu, trust me...do good and bad!Tena tuutumie muda hapa duniani kwa mema zaidi na si mabaya...
Huendi mbinguni fala wewe[emoji23]Niko zangu Nash Park hapa na mtoto mkali, nje kuna pool ni makalio tu yanapita[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Dah umepindua meza Kwa mtumishi Tena?kweli unahitaji maombi kabla na baada wewe!Sasa Jo na ubabu huu kuna nini nataka ku~prove? 5mins nahemea upande wa pili hoi🤣🤣🤣ndio maana tunataka mama wachungaji kina Donatila wanaoombea chakula kabla na baada😅
Kina nyie mna mbio ndefu kama wanariadha wa Kenya, sie wengine ni Usain bolt mita mia tupo hoi🤣🤣🤣🤣🤣Dah umepindua meza Kwa mtumishi Tena?kweli unahitaji maombi kabla na baada wewe!
Mkuu,Huendi mbinguni fala wewe[emoji23]
🤣🤣🤣sema kina hao bwana..mi na mbio wapi na wapi,we piga zako vigelegele vya shangwe mbio achia Kili marathonKina nyie mna mbio ndefu kama wanariadha wa Kenya, sie wengine ni Usain bolt mita mia tupo hoi🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheeeka! Na vigelegele tunapiga, tunapiga hadi........🏃🏃🏃🏃🤣🤣
🤣🤣🤣sema kina hao bwana..mi na mbio wapi na wapi,we piga zako vigelegele vya shangwe mbio achia Kili marathon
🤣🤣🤣Una ujinga mwingi sana we mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheeeka! Na vigelegele tunapiga, tunapiga hadi........🏃🏃🏃🏃