faida nyingi kuliko madhara, too much is harmfulNyeto si Ina madhara mkuu?
Dah hahaHabari wakuu,
Nishashiba pilau, niende moja kwa moja kwenye mada ya Uzinzi hufanyika zaidi siku za sikukuu.
Ndio nasema Sasa kama unabisha nenda nyumba za kulala wageni kama utakuta Kuna chumba wazi.
Yaani watu wanafanya uzinzi Ile mbaya siku za sikukuu wanakula pilau na kula tunda kimasihara.
Kuna watu wanasubiri sikukuu ndio waanze kufanya kufuru la uzinzi.
Ninavyoandika hapa kuna watakaokuwa wanacomment ila wapo gesti wanatafunana kama pilau.
Sikukuu ndio muda wao wa kufanya uzinzi wa kiwango Cha lami yaani, utafikiri hakuna siku nyingine.
Tukumbuke amri ya Mungu isemayo usizini, na tuifanyie kazi.
Hapa Kuna jibaba mkewe kasafiri lipo na kabinti kadogo kadogo.
Pia kuna mke wa mtu yupo huko mtafaruku gesti na kijana.
Vijana ndo wanakulana huko gesti bubu kimasihara masihara...
Heri ya mwaka mpya wote
Donatila
Eeeeh mambo mazuri kabisa haya, ngoja tupelekeane moto. Life's short mkuu.Leo si mabinti wamefungiliwa geti...
Utaona ya kila aina Leo.
Sio binti tu ongezea neno Binti Sayuni 😅pole sana binti yangu
mama jusi ni kina nani hao ndugu nasikiasikia habari zao sanaSio binti tu ongezea neno Binti Sayuni 😅
Kwenye hii Dunia wamebaki wawili tu, yeye na Mama jusi 😜
Hahaha huyo namwita huku zenji tukaenjoy huku hotel verdeHuyo mrembo haendi huko...
Labda umuweke ndani
Hii sikukuu ya Leo sio Sana.Habari wakuu,
Nishashiba pilau, niende moja kwa moja kwenye mada ya Uzinzi hufanyika zaidi siku za sikukuu.
Ndio nasema Sasa kama unabisha nenda nyumba za kulala wageni kama utakuta Kuna chumba wazi.
Yaani watu wanafanya uzinzi Ile mbaya siku za sikukuu wanakula pilau na kula tunda kimasihara.
Kuna watu wanasubiri sikukuu ndio waanze kufanya kufuru la uzinzi.
Ninavyoandika hapa kuna watakaokuwa wanacomment ila wapo gesti wanatafunana kama pilau.
Sikukuu ndio muda wao wa kufanya uzinzi wa kiwango Cha lami yaani, utafikiri hakuna siku nyingine.
Tukumbuke amri ya Mungu isemayo usizini, na tuifanyie kazi.
Hapa Kuna jibaba mkewe kasafiri lipo na kabinti kadogo kadogo.
Pia kuna mke wa mtu yupo huko mtafaruku gesti na kijana.
Vijana ndo wanakulana huko gesti bubu kimasihara masihara...
Heri ya mwaka mpya wote
Donatila
Kula uzee Kwa Raha zako🤣🤣🤣Niko zangu Nash Park hapa na mtoto mkali, nje kuna pool ni makalio tu yanapita🤣🤣
Hapo ndio utaona umuhimu wa kumshukuru Mungu Kwa Pumzi kabla hujapeleka motoEeeeh mambo mazuri kabisa haya, ngoja tupelekeane moto. Life's short mkuu.
Asubuhi nilitoka, wakati napita mtaa mwingine naona jamaa wanafunga turubai, kuuliza afande wetu mmoja kavuta, yaani new year's eve jamaa kavuta.
Mzee anakwambia anaangalia makalio Kwa kwenda mbele!wazee wa hovyo Hawa🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inamaana babu anakula ujana..