min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,386
Hasa hawa walio zaliwa miaka ya 2000Hili nalo ni balaa lingine, alafu watu wameshasahau UKIMWI...
Hasa hawa walio zaliwa miaka ya 2000Hili nalo ni balaa lingine, alafu watu wameshasahau UKIMWI...
WasbGuest gani nzuri huko goba nataka niende na mpenzi wangu mawardat
Mkuu ulikuja kufanikiwa kupata guest ya kueleweka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani watu
Nipo home hapa na familia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Goba watu hawazagambuani?Ppole sana mkuu kwa kuzunguka muda mrefu na shemeJ kutafuta lodge bila mafanikio.
Nendeni maeneo ya Goba, guest na lodge kama mvua.
Halafu nasikia Goba fisi huwa wanaonekana [emoji23]Wasb
Mkuu ulikuja kufanikiwa kupata guest ya kueleweka?
Nikupe pole na endelea kuuguza kidonda chako cha yaliyokukuta huko nyumba za wageniHabari wakuu,
Nishashiba pilau, niende moja kwa moja kwenye mada ya Uzinzi hufanyika zaidi siku za sikukuu.
Ndio nasema Sasa kama unabisha nenda nyumba za kulala wageni kama utakuta Kuna chumba wazi.
Yaani watu wanafanya uzinzi Ile mbaya siku za sikukuu wanakula pilau na kula tunda kimasihara.
Kuna watu wanasubiri sikukuu ndio waanze kufanya kufuru la uzinzi.
Ninavyoandika hapa kuna watakaokuwa wanacomment ila wapo gesti wanatafunana kama pilau.
Sikukuu ndio muda wao wa kufanya uzinzi wa kiwango Cha lami yaani, utafikiri hakuna siku nyingine.
Tukumbuke amri ya Mungu isemayo usizini, na tuifanyie kazi.
Hapa Kuna jibaba mkewe kasafiri lipo na kabinti kadogo kadogo.
Pia kuna mke wa mtu yupo huko mtafaruku gesti na kijana.
Vijana ndo wanakulana huko gesti bubu kimasihara masihara...
Heri ya mwaka mpya wote
Donatila
Nakumbuka kuwa ni watu wenye Elimu au utaalamu kusoma nyota kitu kama hicho. Astrologers.Mamajusi ni watu ambao walikwenda kumtembelea Yesu alipozaliwa, ni watu ambao walikuwa na Imani na Mungu na waliongozwa na Roho Mtakatifu mpaka kufika kwa mtoto Yesu.
Mie ngoja nije kukuchukua wewe nikakukunje vzr gest hukoUnamaanisha kimasira [emoji1787][emoji1787]
ok ni watu si kina mama wenye hekimaMamajusi=Watu wenye Hekima(Wise men)
ok nikafikiri ni kina mama kumbe ni watu banaMamajusi ni watu ambao walikwenda kumtembelea Yesu alipozaliwa, ni watu ambao walikuwa na Imani na Mungu na waliongozwa na Roho Mtakatifu mpaka kufika kwa mtoto Yesu.