amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 918
Ukiziba mlango mmoja mwingine unafunguka.
Go Tido
TBC walianza kumpiga fitna baada ya Tido kuruhusu urushwaji wa midahalo ambapo viongozi wa ccm walikuwa wanaikwepa wakialikwa.
Ukiziba mlango mmoja mwingine unafunguka.
Go Tido
Mimi binafsi wala simfahamu huyo Yahya kwanza ni nani.
Kumbe umeajiriwa nilidhani una mashughuli yako binafsi kumbe umeandikwa kibarua.
Azam TV wamezindua listudio likuuuubwa la kisasa - kushinda kituo chochote kile katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati,na inaonekana wamejipanga maana personnel yao unaona professionals watupu.
According to CEO Tido Mhando,wanakusudia kuifanya Azam TV kuwa BBC ya Tanzania, na pia Al-Jazeera na CNN ya Afrika Mashariki na Kati.
Thank you Azam TV,bila shaka mtatuponya na machengachenga ya TBC na watangazaji wao wasiojua lugha ya Taifa.
Naweza kutabiri pia Mengi anaweza kuanzisha fujo flan na hawa jamaa na baadae tusishangae akisema anatishiwa kuuawa.
Pia Rais Kikwete atakuwa anajisikia aibu kumfukuza Tido TBC,sasa utaalam umehamia Azam TV na TBC inakufa,kweli aliyepewa kapewa tu huwezi kumzibia baraka zake kwa Mungu.
WELCOME Azam TV - a mere concept 2 yrs ago and now a media company with 250 employees today -FORMIDABLE LEAP!
aaaahaaaaa stupid indeed daah nicheke tu kitu gani sasa hapo ulichorusha gizani aaaahaaaaaaaaa ....
Kwa hili la station wengi wanaopondea ni wale wa kishumundu kwan wanaona mungumtu wao anaelekea kupigwa bao muda si mrefu.
Ukiziba mlango mmoja mwingine unafunguka.
Go Tido
Mengi kampa Airtime Tajiri mwenzake kwenye Taharifa ya Habari kwa dakika kama 6 hivi.. Vipi imekuuma kuona wapo pamoja?? Ila hata siku moja AZAM wala IPP hawawezi kuwapa airtime wapuuzi wa Clouds Media
naomba tu AZAM MEDIA waache udini wa wazi wazi, watuwekee, angalau hata channel mbili za gospel.
Nijuavyo mimi, mzee RA Mengi ni muumini mkubwa wa uwekezaji na wawekezaji wa ndani. Pamoja na ushindani lakini kampa airtime ya kutosha AZAM! Ni ueledi safi kabisa. Hii nmeipenda sana. Sijaona kama Sahara nao walirusha ama la! Sote sisi ni Watanzania, tujivunie uwekezaji wa Wazawa. Hongera SSB kwa kutoa ajira kwa Watanzania wenzako!
Kuna watu vijana wanatajwa kuwa matajiri lakini hawana maslahi yoyote kwa Watanzania!
Bila kutaja jina la mtu, ila yule tajiri kijana kutoka mkoa mmoja wa katikati ya Tanzania sijaona akiwa msaada sana kwa ajira kama ya huyu SSB au hata Mengi!
TBC walianza kumpiga fitna baada ya Tido kuruhusu urushwaji wa midahalo ambapo viongozi wa ccm walikuwa wanaikwepa wakialikwa.
naomba tu AZAM MEDIA waache udini wa wazi wazi, watuwekee, angalau hata channel mbili za gospel.
naomba tu AZAM MEDIA waache udini wa wazi wazi, watuwekee, angalau hata channel mbili za gospel.
Tido Mhando amekiri wazi kuwa atafanya kazi AZAM TV kwa weledi zaidi na kufanya makubwa zaidi kwa kuwa hapo amepewa uhuru mkubwa sana kuliko sehemu nyingine yoyote ya kituo chochote cha Tv nchini wa kufanya kile anachoamini ni kizuri na kitaleta mapinduzi chanya katika tasnia ya habari kitaifa na kimataifa.
Ameyasema hayo akihojiwa na mwandishi wa habari wa Mlimani Tv katika uzinduzi wa Azam Tv ambapo ni naibu mkurugenzi mtendaji.
Kwa kumbukumbu ni kwamba Tido Mhando aliwahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa TBC ambapo kwa mujibu wa maelezo yake ndipo alipokosa uhuru mpana wa kufanya kile ambacho anaona kinafaa zaidi.
mchakato majimboni ndiyo ilimuondoa mhando