Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Na pia sidhani kama watakua huru kivile kwa maana bado pia kuna udini ambapo itawabana waandishi au waandaaji wa vipindi
Huo ni utabiri au uchambuz?na je vyombo ambavyo havina udini vina uhuru wa uchanbuz?