Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

kwani wewe muislam? waislam ni watu wema sio kama wewe.jiangalie ur stinking roho chafu

Utahororoja na kubwabwaja sana leo.

Azam TV kuweka mi channel ya kikafiri, hilo sahau. Labda si ya Bakhresa ile.
 
Ukijisikia unataka dini,tafuta Emanuel TV au Imaan. Huku tuachieni,mmezidi na hizo dini zenu za kuwachonganisha.
 
Lakini JK alitakiwa awe Kahama Shinyanga kwenye maafa ya mafuriko ambako watu zaidi ya 40 wamekufa na madhara mengine makubwa. Hiyo kazi ya kufungua studio angemwachia makamu au kama ni lazima iwe yeye basiingeahirishwa. Kama ingekuwa ni wakati wa msiba wa Komba angeacha kwenda msibani na kwenda kufungua studio. Waliokufa Shinyanga nao ni watanzania kama Komba. Aende akasukume harakati za matibau na misaada kwa waathirika. Asije akatukumbusha ya Mwinyi wakati ule watoto wa Shauritanga walipoteketea kwa moto yeye aliendelea kutembelea kiwanda cha bia kana kwamba hakuna balaa lililotokea. Malalamiko yalipotokea ikaelezwa eti ratiba ilikuwa imepangwa. hata hivyo hoja ikawa je kama siku hiyo angekufa mwanae au mkewe angeendelea na ratiba ya kutembelea kiwanda cha bia? Hivyo hata hili la JK kwenda kuzindua studio badala ya kwenda kwenye maafa wasitwmbie habari ya ratiba. Ameishia kutuma salam za rambi rambi tu redioni. Haitoshi aende field

Neno kuntu
 
Kumbuka kuwa Tido kaajiriwa na Bakhresa.

kuajiliwa si tatzo. kiongozi thabiti huwa na misimamo madhubuti dhidi ya propaganda za ajabu ajabu za udini, ukabila na rangi. Sidhani kama Tido ana njaa kama yako kiasi cha kutelekeza imani yake.
 
kuajiliwa si tatzo. kiongozi thabiti huwa na misimamo madhubuti dhidi ya propaganda za ajabu ajabu za udini, ukabila na rangi. Sidhani kama Tido ana njaa kama yako kiasi cha kutelekeza imani yake.

= kuajiriwa

Sasa unafikiri Bakhresa ana njaa ya kutelekeza imani yake kwa ajili yako au ya Tido? Unanchekesha!

Tido kaajiriwa na Bakhresa. Kumbuka hilo.
 
= kuajiriwa

Sasa unafikiri Bakhresa ana njaa ya kutelekeza imani yake kwa ajili yako au ya Tido? Unanchekesha!

Tido kaajiriwa na Bakhresa. Kumbuka hilo.

Kiwango chako cha Elimu, tafadhali!
 
Wabongo kwa kujikweza, hayo majigambo peleka fb.
 
Jk kumfukuza TBC CCM walijua wamemkomoa kumbe ndo wamezidi kumpandisha chati kuwa juu zaidi hongera Tino Mhando kwa utendaji wako .

Kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo/speed na kufupishia safari
 
Utahororoja na kubwabwaja sana leo.

Azam TV kuweka mi channel ya kikafiri, hilo sahau. Labda si ya Bakhresa ile.
unaonekana una hamu sana ya kuhorojolewa ki foxy foxy.tena gozi lako lilisema mitandao yote unatumia.nitakutafuta
 
Anaeomba awekewe gospel siyo mdini, mdini aliyesema sahau? Unanchekesha!

Ikiwa Uislam ndiyo udini, basi mimi ni wa kwanza. Kumbuka hilo.

Nikiona post zako nasikia kinyaa
 
Nimefanya nini? na nyinyi ndiyo mliolianzisha hapa, eti mnataka Azam awawekee channel za gospel, nimewaambia msahau hilo.

Hakuna.

Tazameni Peace TV muondoke kwenye kiza lililowatanda.
Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
unaonekana una hamu sana ya kuhorojolewa ki foxy foxy.tena gozi lako lilisema mitandao yote unatumia.nitakutafuta

Mkuu usipoteze muda wako bure kushindana na huyu mwehu
 
= kuajiriwa

Sasa unafikiri Bakhresa ana njaa ya kutelekeza imani yake kwa ajili yako au ya Tido? Unanchekesha!

Tido kaajiriwa na Bakhresa. Kumbuka hilo.
Na wewe kibibi umeajiriwa wapi?
 
Ingekuwa kuweka angeshaweka zamani sana.

Kwa Bakhresa hilo sahauni.

Mwenzako anafanya biashara ...wewe kuja kumsemea hapa sijui ndo kama nani!!!?? Alafu upunguzage ushabiki usiokua na maana kwa dini yako wewe unapandikiza chuki bila kujijua.
 
nimefuatilia pst zako wewe ni mtu hatari sana na inaonekana unachukia Sana waislam endelea kubaki Na roho yako mbaya.

Hongera Kwa Kunifuatilia Na Si Wewe Tu Mpo Wengi Mno Hamlali Kutwa Kuhangaika Kunifuatilia GENTAMYCINE Wa JF. Hakika Nafurahi Sana. Na Hujakosea Wala Kubahatisha Na Ni Kweli Mimi Ni Mtu Hatari Tena Ni Hatari Kuliko Hata UNAVYODHANI/MNAVYODHANI. Napatwa Na UMAARUFU Kwa Kuwa Nafuatiliwa Na Maadui Zangu Humu Na Wenye Jicho La Husuda Nami............Endeleeni Tu Kunifuatilia Post Zangu Na Msichoke. Sikujua Kama Kumbe Na Mimi Nimekuwa " La Bruga " au " La Brujita " Kama Lionel Messi!
 
Back
Top Bottom